papa

  1. Kasomi

    Pope Leo XIV anatarajiwa kuanza ziara ya siku 10 barani Afrika kuanzia tarehe 13 Aprili

    Pope Leo XIV anatarajiwa kuanza ziara ya siku 10 barani Afrika kuanzia tarehe 13 Aprili, ikiwa ni safari yake ya kwanza ya kichungaji katika bara hilo tangu achukue uongozi wa Kanisa Katoliki, kwa mujibu wa taarifa ya Vatican. Katika ziara hiyo, atatembelea nchi za Algeria, Cameroon, Angola na...
  2. Kasomi

    Papa Leo aomba amani ya kudumu Haiti

    HABARI Papa Leo amewaalika waamini waliokusanyika katika uwanja wa St. Peter's Square, kuombea amani na kutoa wito wa kuachiliwa kwa mateka na kukomesha hali inayozidi kukata tamaa nchini Haiti. Akizungumza jana Jumapili Agosti 10, 2025 papa pia alikaribisha mkataba wa amani kati ya Armenia na...
  3. Kasomi

    Papa Leo XIV ametawazwa na kuchukua rasmi majukumu yake ya upapa

    Papa Leo XIV ametawazwa na kuchukua rasmi majukumu yake ya upapa. Akitoa hotuba yake, Papa aliweka vipaumbele vyake kwa upapa siku ya Jumapili, akikosoa unyanyasaji wa maskini na utawala wa kibabe wakati wa mahubiri kwa umati wa maelfu wakiwemo watu mashuhuri duniani. Akizungumza katika uwanja...
  4. Kasomi

    Kwanini Papa huchagua jina jipya?

    Kwanini Papa huchagua jina jipya? Moja ya matendo ya kwanza ya papa mpya ni kuchagua jina jipya, kubadilisha jina la ubatizo. Uamuzi huo ni sehemu ya mila ya muda mrefu lakini haijawahi kuwa hivyo kila wakati. Kwa zaidi ya miaka 500, mapapa walitumia majina yao wenyewe. Hii ilibadilika na...
  5. Kasomi

    Papa Leo XIV alitembelea Tanzania mwaka 2004 kama mkuu wa shirika la Augustinian duniani kote, akisafiri kutoka Dar kupitia Njombe hadi Songea.

    Papa Leo XIV alitembelea Tanzania mwaka 2004 kama mkuu wa shirika la Augustinian duniani kote, akisafiri kutoka Dar kupitia Njombe hadi Songea. Aliyekuwa kadinali Robert Prevost ambaye hapo Jana Mei 8, 2025 amechaguliwa kuwa Papa wa 267 na kuchagua jina la Papa Leo XIV. Alishawahi kufika...
  6. Kasomi

    Congratulations Papa mpya apatikana

    Moshi mweupe umeonekana ukifuka kutoka kwenye bomba la moshi katika Kanisa la Sistine Chapel, ni wazi mchakato wa upigaji kura umekamilika na makadinali wamemchagua mrithi wa Papa Francis. Bado hatujui ni nani amechaguliwa, lakini itaonekana wazi watakapotokea kwenye roshani ya Kanisa la...
  7. Kasomi

    Kadinali Rugambwa kutoka Tanzania akila kiapo kwa lugha ya Kilatini kabla ya uchaguzi wa Papa

    Mtazame na msikilize Kadinali Rugambwa kutoka Tanzania akila kiapo kwa lugha ya Kilatini kabla ya uchaguzi wa Papa. Mkono unawekwa juu ya Injili yaani maandiko matakatifu. Tazama video
  8. Kasomi

    Historia ya Papa Francis kutoka Amerika ya Kusini ambaye alilibadilisha Kanisa Katoliki

    Francis: Papa kutoka Amerika ya Kusini ambaye alilibadilisha Kanisa Katoliki Mwaka 2013 Francis alikuwa Papa wa kwanza kutoka Amerika na kutoka Ulimwengu wa Kusini. Alimrithi Benedict XVI, ambaye alifariki mwaka 2022. Benedict XVI alikuwa Papa wa kwanza kustaafu kwa hiari baada ya takribani...
  9. Kasomi

    Nini kinatokea Papa anapofariki? Pia utaratibu wa kumpata Papa Mpya

    Nini hutokea baada ya kifo cha Papa Francis? Ulimwengu na haswa waumini wa Kanisa Katoliki limetumbukia katika majonzi baada ya kutangazwa kuwa kiongozi wao Papa Francis amefariki akiwa na umri wa miaka 88. Nini kinatokea? Mazishi ya papa kwa kawaida yamekuwa tukio la kipekee na lenye mambo...
  10. Kasomi

    TANZIA Papa Francis amefariki dunia Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88

    Papa Francis afariki dunia Jumatatu ya Pasaka, Aprili 21, 2025, akiwa na umri wa miaka 88 katika makazi yake katika Casa Santa Marta, Vatican. Saa 9:45 asubuhi, Kadinali Kevin Farrell, Camerlengo wa Baraza la Kitume, alitangaza kifo cha Papa Francisko kutoka Casa Santa Marta kwa maneno haya...
  11. Kasomi

    Ujumbe wa Kwaresima wa Papa Francis kwa 2025

    Ujumbe wa Kwaresima 2025:Tutembee Pamoja kwa matumainiUjumbe wa Kwaresima 2025:Tutembee Pamoja kwa matumaini BABA MTAKATIFU Ujumbe wa Papa Francisko wa Kwaresima 2025:Tutembee Pamoja kwa matumaini Katika Ujumbe wa Papa wa Kwaresima 2025 wa:“Tutembee pamoja kwa matumaini,"anawataka waamini...
Back
Top