Mzee wa Upako aibuka, awaka serikali kufungia makanisa, asema 'vile mnavyowavumilia wakatoliki na hao muwavumilie vilevile'
"Nataka niongee na serikali, isitufungiefungie makanisa, mbona katoliki hawafungagi jamani. Mnatuzalilisha mbona hamfungi katoliki.
Tumesikia juzi katoliki wametoa waraka...