Kasomi
JT Founder
Mzee wa Upako aibuka, awaka serikali kufungia makanisa, asema 'vile mnavyowavumilia wakatoliki na hao muwavumilie vilevile'
"Nataka niongee na serikali, isitufungiefungie makanisa, mbona katoliki hawafungagi jamani. Mnatuzalilisha mbona hamfungi katoliki.
Tumesikia juzi katoliki wametoa waraka mzito wameamuru muwaachilie wafungwa sijui ni na nini, mbona hamuwafungii makanisa yao.
Akina Bagonza sijui wanasema maneno makali mbona hamfungi. Mimi sitetei mambo ya Gwajima wanajuana na MaCCM yao huko lakini kufungafunga majina sio jambo zuri, unafunga kanisajumapili watoto wakali wapi wamekosa nini wewe shughulika na mzee wa upako."
"Ukisikia wewe ni mkuu wa majeshi sijui IGP kanisa lako limefungwa utajisikiaje, Vile mnavyowavumilia wakatoliki na hao muwavumilie vilevile "
"Nataka Kuongea Na Serikali, Serikali Isitufungie Makanisa,Mbona Katoliki Amfungi, Mnatuzalilisha.
Mimi Sitetei Mambo Ya Gwajima, Gwajima Wanajuana Na Ma-CCM Yao Uko. Kufunga Makanisa Sio Jambo Zuri, Unafunga Kanisa Jumapili Watoto Wakasali Wapi Wamekosa Nini, Wewe Deal Na Mzee Wa Upako.
Watoto Wa Sunday School Wamekosa Nini, Wale Watu Wanaimba Wamekosa Nini, Kwa Nini Utawanye Kondoo? Deal Na Mzee Wa Upako, Unawekaje Upinde Kanisani, Wewe Unaakili Kweli
Ukisikia Wewe Mkuu Wa Majeshi Kanisa Lako Limefungwa Utajisikiaje, Unaenda Kanisa Lako Katoliki Limefungwa Utajisikiaje. Vile Ambavyo Mnawavumilia Wakatoliki Wakiwatukana, Nao Muwavumilie, Sio Mnaonyesha Udini, Mnawavumilia Mnatafuta Namna Ya Kumshika Mzee Wa Upako Mwenyewe.
Hekima Tuu! Unaua Nyoka Bila Kuaribu Mayai, Ukitaka Mzee Wa Upako Umpate Unaniaribia Heshima Yangu, Unanitafutia Maskendo, Unanihamisha Kwenye Mioyo Ya Watu."