Pope Leo XIV anatarajiwa kuanza ziara ya siku 10 barani Afrika kuanzia tarehe 13 Aprili, ikiwa ni safari yake ya kwanza ya kichungaji katika bara hilo tangu achukue uongozi wa Kanisa Katoliki, kwa mujibu wa taarifa ya Vatican.
Katika ziara hiyo, atatembelea nchi za Algeria, Cameroon, Angola na...
Februari 13 ya kila mwaka ni siku ya kondomu duniani, huadhimishwa siku moja kabla ya siku ya wapendanao maarufu kama Valentines Day. Uamuzi wa kuiweka karibu na Februari 14, siku ya wapendanao si wa bahati mbaya, bali ni ujumbe kwamba mapenzi na uwajibikaji wa afya vinapaswa kwenda pamoja...
Siku ya Elimu Duniani huadhimishwa Januari 24 kila Mwaka ikiangazia umuhimu wa Elimu katika kuleta Maendeleo, Usawa na Amani.
Leo, tunapoadhimisha Siku ya Kimataifa ya Elimu, katika JamiiTalk tunakuza umuhimu wa Elimu Bora.
===
Today, as we mark the International Day of Education, at JamiiTalk...
Kila ifikapo Januari 22 dunia inaadhimisha Siku ya Kukumbatiana. siku ambayo ilianzishwa mwaka 1986 na mchungaji Kevin Zaborney huku lengo kuu likiwa ni kupeana faraja.
Siku hii inaadhimishwa kwa kuanza kuwapa kumbato familia, marafiki au mtu uliyenaye karibu. Ili kuboresha ustawi wa kiakili na...
Je, wajua Usipotumia namba yako ya simu kwa siku 90 mfululizo bila kutoa taarifa kwa mtoa huduma wako, ana haki ya kuifunga na kuiuza kwa mtumiaji mwingine.
Ikiwa hautatumia laini yako ya simu kwa kipindi cha siku 90 mfukulizo, toa taarifa kwa mtoa huduma wako ili kuepuka kufungiwa au namba...
Leo Oktoba 17, dunia inaadhimisha siku ya kumsamehe mpenzi wako wa zamani yaani Ex. Hii ni siku maalum ya kuhamasisha watu kuachilia maumivu na chuki za zamani kutoka kwa mahusiano yaliyovunjika.
Siku hii haikusudii wewe kurudiana na mpenzi wako wa zamani wala kutuma ujumbe, bali ni fursa ya...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni
TCRA imesema uamuzi huu umetokana na JamiiForums...
Itakapo fika siku ya tarehe 02 Agosti 2025 kutatokea tukio la kupatwa kwa jua, ni tukio ambalo linatokea kwa nadra sana itaweza kuvutia watu wengi.
Ni tukio ambalo Dunia nzima itaweza kushuhudia jua litakapo weza kufunikwa na Mwezi kwa takribani dakika 6, ambapo wakati tukio ilo linatokea Jua...
Kubeti na kushinda
Jinsi ya kubeti na kushinda kila siku
1.Jisajili Meridianbet promo code Jaza 1109
2. Jisajili pmbet promo code jaza , A84
3. Jisajili helabet promo code jaza , A84
JINSI YA KUBETI NA KUSHINDA KILA SIKU
Kubeti na kushinda kila siku nindoto ya kila mchezaji wa michezo ya...
Wataalamu wa sayansi wamebaini kuwa mzunguko wa Dunia umeanza kuharakisha kwa namna isiyo ya kawaida, hali ambayo imewafanya kuanza kuchunguza chanzo chake kwa kina. Kwa mujibu wa taarifa, siku tatu—Julai 9, Julai 22, na Agosti 5, 2025—zinatarajiwa kuwa fupi zaidi katika historia ya karibuni...
MAKINIKIA: SIKU JENERALI SARAKIKYA ALIPOTUNUKIWA CHEO NA RAIS MKAPA
Mwaka 2004, katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, wakati wa sherehe za miaka 40 ya kuanzishwa kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Rais na Amiri Jeshi Mkuu Benjamin William Mkapa alimtunuku cheo cha Jenerali Meja...
Siku ya wajinga duniani -inayoadhimishwa Aprili 1 kila mwaka - imekuwa ikiadhimishwa kwa karne kadhaa na tamaduni tofauti, ingawa asili yake halisi bado ni siri.
Mila ya Siku ya wajinga ni pamoja na kuwadanganya watu au kuwafanyia au utani wa vitendo mbalimbali.
Wakati historia yake halisi...
Kila mwaka ifikapo tarehe 15 october dunia inadhimisha siku ya kunawa mikono kwa sababuni kwa hakika hii ina maana kubwa sana kwa afya zetu.
Siku hii ni mahususi kwa ajili ya kuwahimiza wananchi juu ya umuhimu wa kunawa mikono yao kama sehemu ya kujikinga na magonjwa ya mlipuko kama vile...
JINSI YA KUJUA POMBE UNAYOKUNYWA INATOSHA KWA SIKU
C&P From DR F. SUNDAY
CHUKUA UJAZO WA HICHO KINYWAJI KWA MILILITRE (mls) UTAZOKUNYWA ZIDISHA KWA ASILIMIA YA HIO POMBE GAWANYA KWA ELFU MOJA.
JAWABU LIZIZIDI UNIT MBILI (2) AMBAPO NDO KIASI KWA SIKU.
MFANO
UNIT= % × UJAZO...