Advertise here

Jinsi ya kubeti na kushinda kila siku

futaa

Member
Kubeti na kushinda
Jinsi ya kubeti na kushinda kila siku



1.Jisajili Meridianbet promo code Jaza 1109

2. Jisajili pmbet promo code jaza , A84

3. Jisajili helabet promo code jaza , A84

JINSI YA KUBETI NA KUSHINDA KILA SIKU
Kubeti na kushinda kila siku nindoto ya kila mchezaji wa michezo ya kubashiri lakini ukweli nikuwa huwezi Kushinda kila siku Ila unaweza Kushinda Mara nyingi nakupata faida

Contents

1.1 JINSI YA KUBETI NA KUSHINDA KILA SIKU

2.1 ODS ZENYE NAFASI KUBWA YA KUSHINDA



1.1 JINSI YA KUBETI NA KUSHINDA KILA SIKU
ili uweze kubeti na kushinda mkeka wako nilazima uzingatie yafuatayo



1.1.0 Usibeti kiushabiki

Hakikisha hubeti mchezo kwakuwa tu wewe ni shabiki wa timu hiyo na kuipa ushindi kwakuwa unaipenda timu hiyo. Kufanya hivyo kutakufanya upoteze Mara nyingi



1.1.1 WEKA TIMU CHACHE DAU KUBWA

Hii ndio mbinu ya ushindi kwenye mkeka, kumbuka kadiri unavyoweka timu nyingi kwenye mkeka unakuwa kwenye nafasi kubwa ya kupoteza beti yako. Nimuhimu kuchagua ods chache za uhakika na kubeti dau kubwa kuliko kuweka ods nyingi na na dau dogo kutegemea Kushinda fedha nyingi kwenye mkeka. Kufanya hivyo kutakufanya uwe unapoteza mkeka wako Mara kwa mara.

1.1.2 Chunguza mwenendo wa timu nivyema kuchunguza mwenendo wa timu katika mechi za karibuni matokeo yalikuwaje? Je zinapokutana timu hizo matokeo yanakuwaje? He kikosi chatimu hiyo kwa siku husika kipoje? Uwiano wa magoli ya kufungunga na kufungwa?



1.1.3 Tuliza akili pale unapopoteza. Acha kuchanganyikiwa na kutaka kurudisha kiasi ulichopoteza katika mkeka uliotangulia kufanya hivyo kutakufanya upoteze sana.



1.1.4 Angalia utabiri katika tovuti za kubashiri matokeo mtandaoni. Japo sio za kuaminika Sana lakini zinaweza kukupa mwanga na wewe mwenyewe kufanya maamuzi mkeka wako uweje.
 

Similar threads

Back
Top