trump

  1. Kasomi

    Trump aliagiza Jeshi lifanye Mashambulizi ya kuua kundi la Kigaidi Nigeria

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema ameagiza Jeshi la nchi hiyo kufanya mashambulizi “makali na ya kuua” dhidi ya kundi linalojiita Dola la Kiislamu (ISIS) Kaskazini-Magharibi mwa Nigeria. Katika ujumbe aliouandika kwenye mtandao wa Truth, Trump alilitaja kundi hilo la Kiislamu kama “takataka...
  2. Kasomi

    Trump aishukuru Iran kwa Taarifa ya Shambulio

    Rais Donald Trump wa Marekani dakika kadhaa zilizopita ameishukuru Iran kwa kile alichokiita “taarifa ya mapema” baada ya Nchi hiyo kushambulia kambi ya Wanahewa ya Marekani iliyopo Nchini Qatar ambapo hata hivyo amesema hakuna Mmarekani hata mmoja aliyejeruhiwa kutokana na makombora hayo ya...
  3. Kasomi

    Trump amwita Putin 'mwendawazimu' baada ya shambulio kubwa la Urusi huko Ukraine

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema "hajafurahishwa" na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin, kufuatia shambulio kubwa zaidi la anga dhidi ya Ukraine. Katika hali ambao ni nadra sana kutokea, Trump alisema: "Ni kitu gani kilichomtokea? Anaua watu wengi sana." Baadaye alimwita Putin...
  4. Kasomi

    Sanamu ya shaba ya Melania trump karibu na mji alikozaliwa nchini Slovenia imetoweka

    Sanamu ya shaba ya Melania trump karibu na mji alikozaliwa nchini Slovenia imetoweka, miaka mitano baada ya kuwekwa mahali ilipokuwa sanamu ya mbao iliyoharibiwa na kuchomwa moto Polisi wa Slovenia wamesema kwamba walikuwa wamearifiwa kuhusu wizi katika kijiji cha Rozno, ambapo sanamu hiyo...
  5. Kasomi

    Google yamuomba Trump kubatili agizo la kuuza Chrome

    GOOGLE YAMUOMBA TRUMP KUBATILI AGIZO LA KUUZA CHROME Google inafanya juhudi za mwisho kuzuia hatua ya kulazimishwa kuuza kivinjari chake maarufu, Google Chrome. Kampuni hiyo imeiomba serikali ya Trump kubatilisha agizo hilo lililotolewa chini ya utawala wa Biden, ikidai kuwa linaweza...
Back
Top