wao

  1. J

    Je watoto kupatilizwa kwa ajili ya dhambi za wazazi wao?

    Je watoto kupatilizwa kwa ajili ya dhambi za wazazi wao? Kitabu cha Ezekieli 18:20 kinatuambia, "Roho atendaye dhambi, ndiyo itakayokufa; mwana hatauchukua uovu wa baba yake, wala baba hatauchukua ouvu wa mwanawe". Watoto hawaadhibiwi kwa ajili ya dhambi zilizotendwa na wazazi wao; wala wazazi...
  2. J

    Yesu alimaanisha nini kwa kusema waache wafu wazike wafu wao

    Yesu alimaanisha nini kwa kusema waache wafu wazike wafu wao Tamko hilo lilitolewa na Yesu, kupitia kitabu cha Mathayo 8:21. Ili kufahamu vizuri habari hii, twende kwenye historia ya Wayahudi/Waisraeli katika tamaduni zao kuhusu shughuli za mazishi. Waisraeli walivyozika zamani siyo kama...
  3. Kasomi

    Hiki ndio chanzo cha wanyama kuwala watoto wao yaani Infanticide

    INFANTICIDE: Umeshawahi kusikia stori ya mbwa kumla mtoto wake? Au paka kumgeuza mtoto wake kuwa kitoweo? 😳 Sasa hiyo Hali inaitwa INFANTICIDE — yaani mzazi kumuua au hata kumla mtoto wake mwenyewe (sio wa jirani jamani 😅). Kwa wanyama, kuzaliwa haimaanishi uko salama... muda wowote unaweza...
Back
Top