Advertise here

Ronaldo Jr anaruhusiwa kuchagua timu ya taifa atakayo chezea

Kasomi

JT Founder
🚨 Mtoto wa Gwiji wa soka duniani Ronaldo Jr ameripotiwa kuwa anaruhusiwa kuchagua timu yoyote ya taifa atakayocheza kuanzia Sasa akiwa na umri wa miaka 14.
1743100912966.jpg

Ronaldo Jr ana mataifa matano ambayo atatakiwa achague moja, mataifa hayo ni kama yafuatayo:

🇺🇸 USA
🇵🇹 Portugal
🇨🇻 Cape Verde
🇪🇸 Spain
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 England

Kwa mujibu wa 'MARCA' Ronaldo Jr ataifanya maamuzi hivi karibuni.

Source: MARCA
 
Back
Top