JamiiTalk wekeni fursa mtandao ukue huu

maextro

New member
JamiiTalk ina muda mrefu sana, kwanin bado haiko active kivile? Wekeni fursa kwa watu waje wawekeze, muwekezaji sio mpaka awekeze pesa. Inawezekan mtu akasema atachangie kuibrand kwenye social network/media kwa makubaliano yenu.

Kuna watu wanaweza kazi hizi.
 
Asante sana @maextro kwa mchango wako huu hakika hili ni jambo jema kabsa.
Na tunajitahidi kufanya hivyo na tungependa wadau wa JamiiTalk wawe mabalozi wetu pia ili kuwafanya watu waitambue JamiiTalk. Lakini pia karibuni tutatanua wigo na kuzidi kukuwa
 
Back
Top