Kasomi
JT Founder
Mambo Machache ya Kuzingatia Unapoona Neno "This business is now Using a Secure service from Meta to manage this chat” katika Namba au Account unayochat nayo.
1. Hizi huwa ni Official Numbers ambazo zimekamilisha Usajili katika Meta Business Manager
2. Account hizi hutumia Cloud API na Secure Service za Meta kwa Usalama wa Taarifa na Data za Wateja wake.
3. Mara nyingi ukiona Account inatumia Mfumo huu fahamu uko Mikono salama katika Kampuni, Huduma au Brand inayofahamika. (Si Mara zote)
4. Kamwe Huwezi Kuipigia Simu Account yenye Huduma hii (Video Calls & Audio Calls), Ikiwa hutoona Alama ya Call
, fahamu Account hiyo Imeunganishwa na Huduma za Meta kwa Ulinzi wa Data.
5. Mara zote Account zenye Huduma hii, mteja anapotuma Message huweka Tiki Mbili (Ishara ya Ujumbe Kupokelewa), Hatakama Mhusika hatakuwa Online.
6. Account zenye Huduma hii kwa kawaida huonyesha Jina kwa Juu hatakama huta save Namba zake.
KITU CHA ZIADA KUFAHAMU
Kila Kampuni au Mtu anaruhusiwa Kuunganisha Huduma hii, na ni Muhimu kukumbuka kuwa Hakikisha Kampuni, Brand au Huduma yako ina Leseni inayotambulika.
Ni Huduma Nzuri kwa Wafanyabiashara ambao hawapendi Kupokea Simu au Usumbufu wa Video Calls kwa WhatsApp.
Ni Huduma nzuri kwa wanaopenda Kutumia ChatBots (Roboti au AI) Kujibu wateja Automatically kwa Kila Maswali.
Ili Kupata Huduma hii ni Lazima Uwe na Account ya Facebook na Uwe na Business Portfolio ambayo iko Verified (Ni Lazima).
Ni Lazima uwe na Business Website
Ni Lazima uwe na TIN Number (Hutolewa Bure na TRA)
Unaweza Kuomba Bluetick (Verified Badge) BURE katika WhatsApp Number husika (Ikiwa tu Brand yako Inafahamika Kidunia).
NAMNA YA KUVERIFY BUSINESS PORTFOLIO YAKO
Ingia business.facebook.com (Jaza Login details za Facebook yako au Instagram)
Bofya Create Business Portfolio
Weka Jina la Kampuni au Huduma yako (Kama Inavyoonekana kwenye Leseni au Bank Statements zako)
Jaza Taarifa za Biashara yako katika Sehemu ya Business Portfolio Info
Weka Primary Page (Facebook au Instagram)
Ingia katika Section ya Security Center (Upande wa Kushoto)
Scroll chini katika Sehemu ya Business Verification, Chagua Verification Use case yako (Weka, App Requires access to permissions on Meta for Developers)
Bofya Start Verification (Ni Bure Huduma hii)
Ikiwa Utaambiwa "Your Business does not need to be Verified" kuna Mambo kadhaa huenda utakuwa bado hujajaza vyema.
Baada ya Kugusa Start Verification, Utaombwa baadhi ya Taarifa ikiwamo Taarifa Binafsi za Biashara yako na Leseni. Jaza Kama utakavyoombwa.
Baada ya Kujaza, Tuma Ombi na Subiri Masaa 12 tu.
Ili Kuona ikiwa Uko Verified, Ingia Security Center.
BAADA YA PORTFOLIO YAKO KUWA VERIFIED, FUATA HAYA.
Katika Portfolio yako, Chagua Apps (Angalia Pichani)
Kisha Gusa Doti tatu na Chagua Open in App Dashboard (Kama Huna App itakupeleka katika Sehemu ya Kutengeneza Moja kwa Moja).
Tengeneza App yako kwa Kugusa Create App
Baada ya Kutengeneza app, angalia sehemu imeandikwa Add Products to your app kisha Chagua WhatsApp kisha gusa SETUP
Chagua Portifolio yako kisha gusa Continue
Baada ya Sekunde chache itafunguka, gusa Start Using the API
Gusa Generate Access Token
Utapewa namba ya Bure ya Marekani (USA Number, +1 555***) kama Test Number.
Add Recipient Number (Number yako inayotumia WhatsApp)
Baadae Ingia katika Step 2 na Gusa Send Message
Utapokea Test Message katika WhatsApp yako.
Rejea na Ingia Step 3 (Configure Webhooks). Fanya Setup
Baadae Elekea katika Step 5 na Bofya Add Number, Weka Number unayotaka Iwe Number halisi itakayounganishwa na Huduma na fuata Maelezo.
Credit: @Charles Alex