Kasomi
JT Founder
Jina kamili ni Nyambari Chacha Mariba Nyangwine (amezaliwa 7 Agosti 1976) ni mwanasiasa wa CCM kutoka Tanzania ambaye aliwahi kuwa Mbunge wa jimbo la Tarime mwaka 2010.
Nyambari pia ni muhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Ni mmoja kati ya wachapishaji wa vitabu vya kiada na ziada kwa elimu ya msingi na sekondari nchini Tanzania. Ambae ni Mwanzilishi wa kampuni ya Nyambari Nyangwine Group of Companies Ltd