Advertise here

JamiiTalk Special Thread: Maoni, Mapendekezo, Ushauri na Michango Toka kwa Users

Kasomi

JT Founder
Tunashukuru kwa maoni, Mapendekezo, ushauri na mapendekezo yenu na mijadala inayoendelea hapa kila siku kuhusu masuala ya Maboresho ya Jukwaa la JamiiTalk .

Kupitia thread hii maalumu; tutapokea maoni, ushauri na hata malalamiko yenu. Tunawahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi na tutafanyia kazi.

Unaweza kututumia pia Private Message (PM) na utajibiwa kwa haraka sana kwa Mmoja wa JamiiTalk's Staff members .

Pia unaweza wasiliana na @JamiiTalk kama JamiiTalk official Support kwa msaada zaidi

Tutafanyia kazi Maoni yenu.
 
Nashauri muweke jukwaa la mambo ya wakubwa zikiwapo videos pamoja na picha....????
Asante kwa Maoni tutafanyia kazi Wazo lako la kuwepo na jukwaa la wakubwa.
NB: tutakuwa na sheria zitakazo fuatwa na jukwaa litakuwa private hivyo kulipata/kuliona mpaka uwe na access ya kufikia jukwaa hilo.

Likiwepo tutawaarifu
 
Vipi lile pendekezo limesha anza?
 
Back
Top