Advertise here

FT: Simba VS RSB Berkane

Kasomi

JT Founder
Tazama Simba VS RSB Berkane
Live on BeinSports 8
Bonyeza hapa

Venue:Amaan Stadium
Timezone:All times are in East Africa Time

Simba SC lineup
Screenshot_20250525-164115~2.png


RSB Berkane lineup
Screenshot_20250525-164214~2.png


Substitutes
Simba RSB Berkane
Screenshot_20250525-164313~2.png
 
Yussuph kagoma anaonyesha kadi ya pili ya mchezo na moja kwa moja mwamuzi anamtoa nje kwa kadi nyekundu

52’ Simba 1-0 RS Berkane (1-2)
17’ Mutale J.
49’ Kagoma Y. ♦️(Red card)
 
Klabu ya Simba SC imeshindwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika baada ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya RS Berkane katika mchezo wa fainali ya pili uliopigwa leo Mei 25, 2025 katika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.

Simba waliingia katika mchezo huu wakiwa nyuma baada ya kufungwa kwa mabao 2-0 kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa nchini Morocco, lakini sare ya leo imewapa faida Berkane kwa kuwapa mtaji wa jumla ya mabao 3 - 1 na hivyo kutwaa taji hilo.
 
Back
Top