kanisa

  1. Kasomi

    Januari 07 Kanisa la Orthodox husherehekea Krismasi

    Kila ifikapo Januari 07 kwa kila mwaka huwa pia ni sikuku ya Krismasi, Wakristo wa madhehebu ya Orthodox husherehekea kuzaliwa Yesu Kristo kila Januari 07 tofauti na madhehebu mengine mengi duniani ambayo Krismasi huwa Disemba 25. Sababu kubwa ni kwamba Kanisa la Orthodox linafuata kalenda ya...
  2. Kasomi

    Yafahamu Majimbo ya Kanisa Katoliki Tanzania

    YAFAHAMU MAJIMBO YA KANISA KATOLIKI TANZANIA 1. Jimbo Kuu Katoliki Arusha 2. Jimbo Kuu Katoliki Dar er Salaam 3. Jimbo Kuu Katoliki Dodoma 4. Jimbo Kuu Katoliki Mbeya 5. Jimbo Kuu Katoliki Tabora 6. Jimbo Kuu Katoliki Mwanza 7. Jimbo Kuu Katoliki Songea 8. Jimbo Katoliki Bukoba 9. Jimbo...
  3. Kasomi

    Nimezungumzia utekaji, Kanisa likafungwa Gwajima afunguka

    Askofu wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania Josephat Gwajima ambaye kanisa lake limefungwa na serikali ya Tanzania amesema bado haelewi uhusiano uliopo kati ya hotuba yake ya kupinga vitendo vya utekaji na kanisa lake kufungwa. Amesema hayo alipozungumza na waandishi wa habari leo Julai 16...
  4. Kasomi

    Mzee wa Upako aibuka, awaka serikali kufungia makanisa

    Mzee wa Upako aibuka, awaka serikali kufungia makanisa, asema 'vile mnavyowavumilia wakatoliki na hao muwavumilie vilevile' "Nataka niongee na serikali, isitufungiefungie makanisa, mbona katoliki hawafungagi jamani. Mnatuzalilisha mbona hamfungi katoliki. Tumesikia juzi katoliki wametoa waraka...
Back
Top