Kasomi
JT Founder
???????????????????????????? ???????? ???????????????????????????????? ????????????????
Toka kuanza kutumika 2013 telegram ni app ambayo inatumiwa na watu wengi sana ulimwenguni kwani ina mambo mengi mazuri na ya kushangaza ambayo ukiyajua utaacha kutumia daima !!
Telegram bots ni program ndogo iliyopo Kwenye telegram ambayo utaweza kuitumia kufanya mambo mbalimbali utaweza kuchati naye na kukusaidia kupata kitu kwa haraka zaidi.
Bots ni akaunti za telegram zinazoendeshwa na software Wala sio watu mara nyingi zinatumia teknolojia ya Artificial Intelligence (AI) Kuweza kufanya vitu vingi kama vile
kufundisha, kucheza , kutafuta , kutangaza, kukumbusha, kuunganisha na huduma zingine, au hata kupitisha amri kwenye intaneti kutafuta kitu.
Fahamu Powerful Telegram Bots ambazo ulikua huzijui
???????????????????????? ???????????????????? ???????????????????????? ????????????????
Ikiwa unatafuta movie Tumia telegram utaweza kupata movies yoyote unayotaka Ambazo utazikuta Kuna series, video , Action , horror Yani any movie utaweza kuzipata na kudownload kupitia telegram.
Ingia telegram andika @MovieYbot Kisha ingia Kwenye All movie Y
???????????????????????? ???????????????????????????????????????? ????????????????????????
Ikiwa unataka msaada wa kuandikiwa assignment labda ya chuo na hufahamu pa kuanzia Tumia telegram sasa utaweza kuandikiwa assignment faster we unaandika unataka assignment ya Nini basi yenyewe automatically inafanya kazi
Ingia Kwenye telegram sehemu ya kutafutia andika @AssignmentXbot >> bonyeza start kuanza kutumia
???????????????? ???????????????????????? ???????????????????????????????? ????????????????
Kama wewe ni msomi wa vitabu na unapenda kupakua vitabu ila changamoto vingi vinauzwa basi kupitia telegram unavipata Bure bila kulipia chochote we kazi Yako inakua kusoma tu utaweza kupakua kupitia simu , kompyuta au tablet.
Ingia Telegram andika @EbookDownloadBot >> start utatafuta kitabu chako chochote kupitia bots
Kwa wale wanaopenda kudownload video za Youtube, Basi tumia hii @utuberabot
- Ukisha ianzisha search video yeyote kwa kuandika hivi
@vid JamiiTalk (kama mfano, ile wewe andika jina la video unayotaka)
Kisha Chagua video unayotaka ku_download, Itakuletea hivi, Nitachagua video ya kwanza
Kisha chagua file size unayohitaji.

Last edited: