Advertise here

UZI

*KUWA MAKINI NA WATU UNAOWASHIRIKISHA NDOTO ZAKO,MAONO YAKO*

Wengi husema ili uweze kufanikisha Ndoto zako basi haina budi kuzizungumza Kwa watu ili ikupe deni la kutimiza

Mimi nasema sio wote wa kuwambia….

Ndoto zetu zimekuwa aborted na watu Kwa maneno yetu.,tumekuwa na still births kwasababu ya kutofunga mdomo.

Jifunze kuwa na kifua, kwanini uwatangazie
Hivyo kuna watu wengine ukiwambia Maono yako wataanza kukuchukia bila sababu,jua hao hawataki ufanikiwe.Tena hao hawatafuti kuua mimba(, Maono) Bali watataka kukuua wewe ili hiyo mimba(Maono) yasizaliwe.

*Mungu akupe Macho ya Rohoni ktk kujua nani wa kumshirikisha Ndoto zako.*
 
Back
Top