UZI; Wazee wanasema, “Kabla hujaruhusu sauti yako isikike pangusa mdomo kwanza”

Emmanuel

New member
*Wazee wanasema, “Kabla hujaruhusu sauti yako isikike pangusa mdomo kwanza”. Watu hukutazama baada ya wewe kutoa sauti. Kabla hujatoa sauti ya kuonya yeyote hakikisha umenyoosha njia zako kwanza, kwani baada ya kuongea watu hutazama maisha yako. Yakiwa mabaya wanaweza kukataa kupokea au kuchelewa kupokea, watu hawapendi kutazama mdomo mchafu wakati mtu anaongea. Mwili wako unaweza ukachukiwa na watu lakini moyo wako lazima ubaki mtulivu.* ©️Pd. PK, siku njema
 
Back
Top