Kasomi
JT Founder
Habari wana jukwaa kwa wale wanaopata Tatizo punde wanapo jisajili na kupata ujumbe wa Your full account details are not currently editable.
Tatizo hilo linafanyiwa kazi na pia baada ya kujisajili logout baada ya muda rudi na u login ili kuperuzi Mtandao wetu
wakati tukiwa tunalifanyia kazi hilo.
Baada ya muda Tatizo hilo halitokuwepo na utajisajili na kushiriki kwa urahisi.
Asante kwa kuchagua JamiiTalk
Mrejesho
Tatizo limetatuliwa tayari