Advertise here

Mazungumzo na Dr. Herbet Ndombe wa Idara ya Historia UDSM

Dr. Ndombe ni muhadhiri wa historia Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.
Tarehe 9 Desemba tulishiriki kipindi kimoja cha televisheni katika kuadhimisha uhuru wa Tanganyika.

Dr. Ndombe alipendezewa na mchango wangu nilipokuwa naeleza historia ya TANU.
Alinitafuta baadae nami nikamkaribisha Maktaba ambako tulifanya mazungumzo hayo hapo chini:

 
Back
Top