Prof. Mjema amefanya mazungumzo na Wahandiri wa Chuo cha Maria Curie-Skłodowska University (UMCS) kutoka nchini Poland

Kasomi

JT Founder
FB_IMG_16494403199396097.jpg

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Emanuel Mjema amefanya mazungumzo na Wahandiri wa Chuo cha Maria Curie-Skłodowska University (UMCS) kutoka nchini Poland Prof. Pawel Pasierbiak, Prof. Mariusz Kicia, Dr. Jakub Czerniak na Dr. Konrad Czernichowski. Mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha uhusiano baina ya CBE na UMCS ambapo wanatarajia kushirikiana kwenye maeneo makuu manne (4).
Moja; Kubadilishana Wahadhili baina ya CBE na UMCS ambapo waadhili wataenda kufundisha UMCS Poland na wao kuja kufundisha CBE.
Pili; kubadilishana wanafunzi kati ya CBE na UMCS ili kuweza kuwajengea uwezo zaidi.
Tatu; kushirikiana kwenye Utafiti na Machapisho.
Nne; kutoa misaada ya kifedha kwaajili ya miradi mbalimbali ya Chuo cha Elimu ya Biashara.

Picha Zaidi
FB_IMG_16494406040997209.jpg

Profesa Mjema kushoto
FB_IMG_16494406003520065.jpg

Jopo la wageni
FB_IMG_16494405965648941.jpg
 
View attachment 35
Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Emanuel Mjema amefanya mazungumzo na Wahandiri wa Chuo cha Maria Curie-Skłodowska University (UMCS) kutoka nchini Poland Prof. Pawel Pasierbiak, Prof. Mariusz Kicia, Dr. Jakub Czerniak na Dr. Konrad Czernichowski. Mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha uhusiano baina ya CBE na UMCS ambapo wanatarajia kushirikiana kwenye maeneo makuu manne (4).
Moja; Kubadilishana Wahadhili baina ya CBE na UMCS ambapo waadhili wataenda kufundisha UMCS Poland na wao kuja kufundisha CBE.
Pili; kubadilishana wanafunzi kati ya CBE na UMCS ili kuweza kuwajengea uwezo zaidi.
Tatu; kushirikiana kwenye Utafiti na Machapisho.
Nne; kutoa misaada ya kifedha kwaajili ya miradi mbalimbali ya Chuo cha Elimu ya Biashara.

Picha Zaidi
View attachment 36
Profesa Mjema kushoto
View attachment 37
Jopo la wageni
View attachment 38
Yakweli hayoo kumbe hahaha
 
Back
Top