Kasomi
JT Founder
Haya ndiyo mataifa machache duniani ambayo kwa sasa si mwaka 2026 kwao (kutokana na kutumia kalenda tofauti):
1. Ethiopia – wapo mwaka 2018 (Kalenda ya Kiethiopia)
2. Iran – wapo mwaka 1402 (Kalenda ya Kiajemi)
3. Afghanistan – mwaka 1402 (Kalenda ya Solar Hijri)
4. Nepal – mwaka 2082 (Kalenda ya Vikram Samvat)
5. Thailand – mwaka 2569 (Kalenda ya Kibuddha)
6. Sri Lanka – mwaka 2569 (Kalenda ya Kibuddha)
7. Myanmar (Burma) – mwaka 1387 (Kalenda ya Myanma)
8. Israel – mwaka 5786 (Kalenda ya Kiebrania)
9. Saudi Arabia (na baadhi ya mataifa ya Kiislamu) – mwaka 1447 (Kalenda ya Hijria ya Kieislamu)
Kumbuka: Mataifa haya mara nyingi hutumia kalenda hizo kwa matumizi ya ndani au kidini, lakini kiserikali na kimataifa bado hutambua mwaka wa Kalenda ya Gregori (2026).