Advertise here

Je, Wajua? Fahamu mambo haya mbalimbali

Kasomi

JT Founder
Jewajua..

→✏Nyanya ndo tunda Maarufu zaidi Duniani. Ndizi sio tunda ni mtishamba{Herbs}.
→✏Kila Bara linaishia na Herufi iliyoanza nayo mwanzo, mfano: Africa,Europe,Asia.. [*Kwa Kingereza lakini]
→✏Maji huwa hayaexpire, expire date ni ya Chupa.
→✏Asali ndo Chakula Pekee Kisichoharibika.
→✏Unaweza kupunguza Uchachu wa embe kwa Kuliloweka dakika 10 kwenye Maji ya Uvuguvugu.
→✏96% ya Mishumaa hununuliwa na Wanawake.
→✏Uking’oa kucha zote za vidole vya mkono, itakuchukua miezi 6 Mpaka ziote na Zikomae tena.
→✏Kuna Radi takribani 2,000 kwa kila dakika Duniani.
→✏Gesi haina Harufu, bali harufu huwekwa ili Kutaarifu kama Gesi ikivuja.
→✏Katika Alfabeti zote, herufi ‘e’ ndo hutumika Zaidi.
→✏Mabegi ya kuburuta Matairi yalianza Kutumika tangu 1971.
→✏Watoto wadogo chini ya miezi 3, hawawezi kutetemeka kwa baridi.
→✏Duniani kuna wastani wa Watu 6 ambao Unafanana nao kila Kitu kasoro Jina tu, na una 9% ya Kukutana nao!
→✏Mahusiano mengi Duniani huzaliwa siku ya Jumatano.
→✏ 97%ya watu wakipewa Kalamu Mpya, basi wataijaribu ubora wake kwa kuandika Majina yao ama kuweka alama ya Sahihi.
→✏Ukiwa unaandika namba zako za Siri, ukahisi Umekosea hata moja huwa Unafuta Zote na kuanza Upya.
→✏3% ya watu wote Duniani ni Mapacha. *Mapacha wanaweza Kuwa na Baba tofauti.
→✏Watoto 255 huzaliwa kila dakika, taarifa: UNICEF.
→✏Kama Umezaliwa 1999, Basi jua Umeishi ndani ya Miongo 3, Karne 2 na Millennium 2.
→✏Kujinyonga India, kumeua Watu wengi Kuliko Ukijumulisha ajari na magonjwa kwa Pamoja
→✏ Pweza ana Bongo 9, Mioyo 3 na damu ya bluu. Maziwa ya Kiboko ni ya Pink.
→✏Huwezi kupiga Chafya bila kufumba Macho.
→✏Ukidownload file “PDF” inayoishia na ‘exe’ ifute io ni Virus.
→✏74% ya Watumiaji wa facebook huiangalia Kila siku, Mtu mmoja hutumia angalau dk 35 kwa Siku.
→✏Video Billion 8 Hutazamwa fb kila Siku. Marekani ina idadi kubwa ya watumiaji fb. fb profile feki Duniani zinakadiliwa Kufika Million 270.
→✏Account Million 391 za twitter hazina follower. Watu million 500 hutembelea Twitter kila mwezi bila kulog in.
→✏Kombe la Dunia lilianzishwa rasmi 1930,Uruguay akiwa Mdhamini, na ndo aliyechukua Kombe kwa Mara ya kwanza.

Inaendelea...
#FahamuLeo
 

Similar threads

Back
Top