Advertise here

Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Wasimamizi wa Vituo vya Kupigia Kura, Wasimamizi Wasaidizi na Makarani Waongozaji Jimbo la Kakonko

Kasomi

JT Founder
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kakonko anawatangazia waombaji wa nafasi za wasimamizi wa vituo vya kupiga kura, wasimamizi wasaidizi na makarani waongozaji kufika kwenye usaili tarehe 08/10/2025 saa 3:00 asubuhi katika vituo vilivyoorodheshwa hapa chini ikiambatana na majina ya wale walioitwa kwenye usaili. Tafadhali fungua faili hapa chini;

Bonyeza ha chini kuona Majina hayo
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI JIMBO LA KAKONKO
 

Similar threads

Back
Top