miaka

  1. Kasomi

    Baada ya Miaka 22 Arsenal yatwaa Ubigwa wa England Premier League (EPL)

    ENGLAND: Arsenal imetwaa ubingwa wa Premier League 2025/26 baada ya Manchester City kulazimishwa sare ya Goli 1-1 kutoka kwa Bournemouth, matokeo hayo yanamaanisha hakuna timu itakayoweza kufikia alama za Arsenal na zote zikiwa zimesaliwa na mchezo mmoja. Hadi sasa Arsenal ina pointi 82, Man...
  2. JamiiTalk

    Congratulations Happy Birthday JamiiTalk: Celebrating 4 years of success

    Leo tunasherehekea mafanikio ya JamiiTalk tangu ilipoanzishwa miaka 4 iliyopita! 🎂🚀 JamiiTalk ilianshishwa Tarehe 22/03/2022. Kwa kipindi hiki kifupi, JamiiTalk imeweza kuwa jukwaa maarufu la kujifunza, kubadilishana mawazo, na kuleta mabadiliko katika sekta ya elimu na mawasiliano kwa...
  3. Kasomi

    Mwanamuziki Cool James aka Mtoto wa Dandu Akiwa na Wadau Joseph Kusaga na Kinjeketile Kingunge Ngombale Mwiru Jijini Dar Es Salaam Miaka 2000

    MAKINIKIA: HEKAYA FUPI YA MWANAMUZIKI COOL JAMES AKA MTOTO WA DANDU, MWASISI WA TANZANIA MUSIC AWARDS Pichani ni wadau wakubwa wa muziki nchini, toka kushoto Mtoto wa Dandu, Joseph Kusaga na Kinjeketile Kingunge Ngombale Mwiru miaka ya 2000. Jina lake halisi lilikuwa James Dandu Maligisa...
  4. Kasomi

    Kijana mwenye umri wa miaka 15 aiba basi kumpeleka mpenzi wake shuleni

    Shirika la usafiri wa umma mjini Wiesbaden, magharibi mwa Ujerumani, limeitaka polisi kumshtaki kijana wa miaka 15 aliyedaiwa kuiba basi na kumpeleka mpenzi wake umbali wa kilomita 130 hadi shuleni mjini Karlsruhe. Mkuu wa kampuni ya mabasi ya NVG, Jörg Martini, aliliambia shirika la habari la...
  5. Kasomi

    Kumbukizi ya Miaka 5 ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli (1959 - 2021)

    Kumbukizi ya Miaka 5 ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli (1959 - 2021) Miaka mitano imepita tangu ulipotutoka, lakini alama ulizoacha bado zinang'ara. Uongozi wako wa uadilifu, uzalendo, na bidii vitadumu mioyoni mwetu. Ulisimama imara kwa maendeleo ya taifa, ukahamasisha uchapakazi kwa kauli...
  6. Kasomi

    Je, unafahamu kuwa Yoweri Kaguta Museveni ametawala Uganda kwa muda wa miaka 40 Mfululizo

    Yoweri Kaguta Museveni ametawala nchini Uganda kwa muda wa miaka 40 (hadi kufikia mwezi huu wa Januari 2026). Aliingia madarakani tarehe 29 Januari 1986 baada ya kuongoza vita vya msituni dhidi ya serikali ya kijeshi ya Tito Okello. Tangu wakati huo, amekuwa madarakani bila kukatiza, jambo...
  7. Kasomi

    Mwanzilishi wa Reddit afikia Ubilionea baada ya Miaka 20

    Miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Reddit, mmoja wa waasisi wake, Steve Huffman, ametangazwa rasmi kuwa bilionea, hadhi iliyochelewa lakini iliyojaa mafundisho kwa kizazi cha wagunduzi. Safari yao ilianza mwaka 2001, alipopatana na Alexis Ohanian chuoni. Wazo lao la kwanza halikufanikiwa, lakini...
  8. Kasomi

    Balthazar Ebang Engonga atupwa jela Miaka 8

    Mahakama moja nchini Guinea ya Ikweta imemhukumu kifungo cha miaka 8 gerezani aliyekuwa afisa mwandamizi wa serikali ya nchi hiyo Baltasar Ebang Engonga kwa makosa ya ubadhirifu wa fedha za umma. Baltasar Ebang Engonga aliutikisa mtandao wa intaneti mwaka jana kwa sifa chafu baada ya kuvuja kwa...
  9. Kasomi

    Jina langu lilikatwa Miaka 2 iliyopita - Mpina

    UPDATES "Kumekuwa na mabadiliko mengi ya viongozi ndani ya miaka minne, najiuliza kama mabadiliko haya shida ipo kwa watumishi au kwa anayebadili. Alikuwa akinipongeza tena kwa barua n azote ninazo. Nilikuwa naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais na mwaka 2017 akanirecommend niwe Waziri. Mwaka...
  10. Kasomi

    TANZIA Nguri wa fasihi ya Kiafrika Ngũgĩ wa Thiong'o afariki akiwa na umri wa miaka 87

    Ngũgĩ wa Thiong'o, ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 87, alikuwa kinara wa fasihi ya kisasa ya Kiafrika - msimuliaji hadithi ambaye alikataa kufungwa jela, uhamishoni na ugonjwa. Kazi yake ilichukua takriban miongo sita, hasa ikiandika mabadiliko ya nchi yake - Kenya - kutoka somo la...
  11. Kasomi

    Daktari wa upasuaje afungwa miaka 20 kwa kubaka watoto

    Joel Le Scouarnec, daktari wa zamani wa upasuaji nchini Ufaransa amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela siku ya Jumatano baada ya kukiri kuwanyanyasa wagonjwa 299 wengi wao wakiwa watoto. Daktari huyo mstaafu alikiri kuwafanyia vibaya jumla ya wagonjwa wa kiume 158 na wanawake 141 wa wastani wa...
  12. Kasomi

    Msichana wa Miaka 19 achinjwa nchini Tanzania baada ya kukutan kuolewa na muuza nyama ya nguruwe

    Msichana aliyetambulika kwa jina la Shukran Ajiliwa amekutwa amekufa kwa kukabwa shingo na kuchinjwa kwa kitu chenye ncha kali kisha kutobolewa utumbo. Kwa mujibu waJJeshi la polisi mkoani Ruvuma ulipotokea mkasa huo limesema linamshikilia Erick Turuka ambaye ni muuza nyama ya nguruwe ambaye...
  13. Kasomi

    TANZIA Papa Francis amefariki dunia Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88

    Papa Francis afariki dunia Jumatatu ya Pasaka, Aprili 21, 2025, akiwa na umri wa miaka 88 katika makazi yake katika Casa Santa Marta, Vatican. Saa 9:45 asubuhi, Kadinali Kevin Farrell, Camerlengo wa Baraza la Kitume, alitangaza kifo cha Papa Francisko kutoka Casa Santa Marta kwa maneno haya...
  14. JamiiTalk

    Congratulations JamiiTalk Yafikisha Miaka 3: Celebrating 3 years of success

    🎉 JamiiTalk Yafikisha Miaka 3! 🎉 Leo tunasherehekea mafanikio ya JamiiTalk tangu ilipoanzishwa miaka 3 iliyopita! 🎂🚀 JamiiTalk ilianshishwa Tarehe 22/03/2022. Kwa kipindi hiki kifupi, JamiiTalk imeweza kuwa jukwaa maarufu la kujifunza, kubadilishana mawazo, na kuleta mabadiliko katika sekta ya...
  15. JamiiTalk

    Announcement Miaka 3 ya JamiiTalk Ungana nasi kushiriki kwenye Mjadala wa miaka 3 ya JamiiTalk

    Je, ungependa kuunganisha nasi kuafurahia miaka 3 ya Mtandao wa JamiiTalk? Karibu jaza RSVP hapo juu ili kushiriki nasi. JamiiTalk itaadhimisha miaka 3 Tangu kuanzishwa kwake March 22, 2022. Hivyo siku ya Tarehe 22/03/2025 JamiiTalk itatimiza miaka 3 Jisajili hapo juu JamiiTalk The Home of...
  16. Kasomi

    Kumbukizi ya Miaka 4 ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli (1959 - 2021)

    Kumbukizi ya Miaka 4 ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli (1959 - 2021). Miaka minne imepita tangu ulipotutoka, lakini alama ulizoacha bado zinang'ara. Uongozi wako wa uadilifu, uzalendo, na bidii vitadumu mioyoni mwetu. Ulisimama imara kwa maendeleo ya taifa, ukahamasisha uchapakazi kwa kauli...
  17. Kasomi

    Aishi na risasi tatu mwilini kwa miaka 11

    Mwanza. Julai 6 mwaka 2011 ni siku ambayo hatoisahaulika kwa Kulwa Makasi (32) baada ya kupigwa risasi tatu, moja kichwani, mgongoni na kwenye paja la kulia anazoishi nazo kwa miaka 11 sasa. Mkazi huyo wa Shibula jijini Mwanza kwa sasa anatembea kwa kiti maalum kutokana na ulemavu alioupata...
Back
Top