Tetesi: Mgodi wa uchimbaji wa dhahabu wa Msasa, Geita wauwa zaidi ya Watu 100

Kasomi

JT Founder
HABARI MBAYA KUTOKA MKOANI GEITA
1774814998298.jpg

Mgodi wa uchimbaji wa dhahabu wa Geita unaojulikana kama MSASA ambao unamilikiwa na Mkuu wa Mkoa wa Geita Martin Shigela huku hisa za Kiongozi huyo zikisimamiwa na Cosmas Ignas.

Leo yaani Machi 29, saa Sita Mchana mgodi huo umeua watu zaidi ya 100 baada ya kufukiwa na kifusi wakiwa ndani ya mashimo, Kikosi cha gasia FFU wametanda eneo hilo wakati zoezi la kuopoa miili iliyonasa kwenye kifusi likiendelea Waandishi wa habari wa Mkoa wa Geita wamehongwa pesa ili wasitoe habari hii.

Hakuna mtu yoyote ambae anaruhusiwa kusogea maeneo ya Maduara na mpaka sasa miili ya watu zaidi ya 20 imeopolewa kwenye mashimo hayo lakin bado watu wengi wako chini.
 
Back
Top