Advertise here

watu

  1. Kasomi

    WhatsApp kuanza kutumia usernames utaweza wasiliana na watu bila kuwapa namba yako

    Baada ya miaka mingi ya kusubiri na miezi kadhaa ya maandalizi, mtandao wa WhatsApp umeanza rasmi kuruhusu watumiaji wake kote ulimwenguni kutumia majina yao ya kipekee ya watumiaji @username kama ilivyo kwa Instagram, X na mitandao mingine. Kwa muda mrefu, namba ya simu ndiyo imekuwa njia...
  2. Kasomi

    Tetesi: Mgodi wa uchimbaji wa dhahabu wa Msasa, Geita wauwa zaidi ya Watu 100

    HABARI MBAYA KUTOKA MKOANI GEITA Mgodi wa uchimbaji wa dhahabu wa Geita unaojulikana kama MSASA ambao unamilikiwa na Mkuu wa Mkoa wa Geita Martin Shigela huku hisa za Kiongozi huyo zikisimamiwa na Cosmas Ignas. Leo yaani Machi 29, saa Sita Mchana mgodi huo umeua watu zaidi ya 100 baada ya...
  3. Kasomi

    Watu wanne waiba Ambulance Musoma

    HABARI Baada ya kufanya operesheni, doria na misako katika maeneo mbalimbali kwa lengo la kubaini, kuzuia na kutokomeza uhalifu Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara limefanikiwa kuwakamata wahalifu wanaotuhumiwa kwa tuhuma za wizi wa gari la kubebea wagonjwa (Ambulance) la Hospitali ya Manispaa ya...
  4. J

    Watu 40 walioandika Biblia

    Watu 40 walioandika Biblia Biblia, kitabu kikamilifu na kitakatifu, kimeandikwa na waandishi zaidi ya 40, kwa uvuvio wa Roho Mtakatifu. Ndani ya biblia kuna taarifa zinazohusu maisha ya watu zilizobeba sauti ya Mungu nyuma yake. Pia, kuna taarifa za mataifa mbalimbali, pia zenye kubeba sauti...
  5. Kasomi

    Tanzania Nchi ya 5 kwa idadi ya Watu wengi Afrika

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya watu barani Afrika. Kwa mujibu wa makadirio ya sensa na takwimu za Umoja wa Mataifa (UN World Population Prospects, 2025), Tanzania inashika nafasi ya 5 kwa idadi ya watu Afrika. Nchi 10 zenye watu wengi zaidi Afrika (takribani 2025): Tanzania...
  6. Kasomi

    Nchi 10 zenye watu wengi zaidi barani Afrika 2025

    NCHI 10 ZA AFRIKA ZENYE IDADI KUBWA YA WATU 1. Nigeria 🇳🇬 2. Ethiopia 🇪🇹 3. Egypt 🇪🇬 4. Democraric Republic of Congo 🇨🇩 5. Tanzania 🇹🇿 6. South Africa 🇿🇦 7. Kenya 🇰🇪 8. Sudan 🇸🇩 9. Uganda 🇺🇬 10. Algeria 🇩🇿 Chanzo: World Population Review
  7. Kasomi

    Nchi 15 zenye watu wengi Duniani

    India: ~1.46 billion China: ~1.42 billion United States: ~347 million Indonesia: ~286 million Pakistan: ~255 million Nigeria: ~238 million Brazil: ~213 million Bangladesh: ~176 million Russia: ~144 million Ethiopia: ~135 million Mexico: ~132 million Japan: ~123 million Egypt: ~118 million...
  8. Kasomi

    Ajali Mbaya ya Ndege Ndogo Kwale Yaua Watu 12

    Ndege ndogo iliyokuwa imebeba watu 12 imeanguka katika eneo la kaunti ya Kwale, pwani ya Kenya, na kusababisha vifo vya watu wote waliokuwa ndani, kwa mujibu wa taarifa kutoka Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya Kenya (KCAA). Mkurugenzi Mkuu wa KCAA, Emile Arao, amethibitisha kuwa ndege hiyo yenye...
  9. Kasomi

    Ongezeko la idadi ya laini za simu kwa ajili ya mawasiliano ya watu (P2P) zilizo sajiliwa

    📌Ongezeko la idadi ya laini za simu kwa ajili ya mawasiliano ya watu (P2P): Laini za simu za mkononi na mezani zilizosajiliwa kwaajili ya matumizi ya watu zimeongezeka kwa takribani milioni 6.5 katika robo ya mwaka iliyoishia Septemba 2025. Ripoti ya takwimu ya sekta ya Mawasiliano ya Septemba...
  10. Kasomi

    Leo ni siku ya kumsamehe mpenzi wako wa zamani yaani Ex

    Leo Oktoba 17, dunia inaadhimisha siku ya kumsamehe mpenzi wako wa zamani yaani Ex. Hii ni siku maalum ya kuhamasisha watu kuachilia maumivu na chuki za zamani kutoka kwa mahusiano yaliyovunjika. Siku hii haikusudii wewe kurudiana na mpenzi wako wa zamani wala kutuma ujumbe, bali ni fursa ya...
  11. Kasomi

    Mtandao wa Whatsapp wametangaza feature mpya ya kuweza kuruhusu watu kuweza kureshare status

    💭 Mtandao wa Whatsapp wametangaza feature mpya ya kuweza kuruhusu watu kuweza kureshare status kupitia simu zao. 💭 Japo feature hii kwa sasa iko kwenye majaribio , ila ni feature ambayo itawapa watu uwezo wa ku share status ya rafiki || ndugu || jamaa ambayo amepost kupitia Mtandao wa Whatsapp...
  12. Kasomi

    Mfumo Wa Bodi (HESLB) Umetuma Message Za Kusaini Pesa Kwa Watu Kimakosa

    Mfumo Wa Bodi Umetuma Message Za Kusaini Pesa Kwa Watu Kimakosa Hivyo Basi Kama Umepata Message Ya Kusaini Pesa Hakikisha Unatembelea Sipa WIZARA YA MIKOPO TAARIFA MUHIMU KWA WANAFUNZI NA WANUFAIKA WA MIKOPO Tunapenda kuwataarifu kuwa kumekuwa na changamoto ya kiufundi katika mfumo wa Bodi ya...
  13. Kasomi

    Kutoka kwa Jamii; Binti Niliye Mtongoza kwa Miaka 4

    Kutoka kwa W A T U "Kuna binti nilimtongoza kwa miaka minne akaja kukubali 2015 mimi nikiwa chuoni yeye akiwa mtaani maana aliishia darasa la saba. Nikaanza kudate nae, nikatambulika mpaka kwao. Nikawa kila nikifunga narudi home hata field nilikuwa nafanyia home ikatokea akawa mjamzito...
  14. Kasomi

    SENSA 2022: Idadi ya Watu Tanzania imefikia milioni 61,741,120

    Tanzania ina idadi ya watu 61,741,120. Watu 59,851,347 wapo Tanzanzia bara na 1,889,773 Tanzania zanzibar. Wanawake wapo 31,687,990 sawa na asilimia 51 ya watu wote na wanaume ni 30,530,130 sawa na asilimia 49 ya watu wote. Kati ya mwaka 2012 hadi 2022, ongezeko la watu ni 19,812,197 sawa na...
  15. Kasomi

    Maelezo/Ndodoo Muhimu za Maombi ya Ajira Katika Mfumo; Ajira za Muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi 2022

    MFUMO WA MAOMBI YA KAZI ZA UKARANI NA USIMAMIZI WA SENSA DONDOO ZA MAOMBI YA AJIRA KARIBU KATIKA MFUMO AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022. MAELEZO/ DODNDOO MUHIMU 1- Soma Tangazo la Ajira kwa umakini, kabla ya kutuma maombi. 2- Hakikisha Taarifa zote...
Back
Top