Kasomi
JT Founder
Habari Wana JT, tukiwa bado tunaendelea kuwapa huduma nzuri na Rafiki kwa sasa tumewaletea mbadala wa App ya JamiiTalk ambayo mnaweza ipakua (download) na kusakinisha(install).
Apo hii haipo bado Playstore na App store hivyo unaweza download hapa na kuinstall pia unaweza sambaza kwa marafiki ambao ungependa watumie Mtandao wa JamiiTalk.
Pia App hii hautokuwa na Haja ya kuihuisha (update), hivyo update zote zitakazo fanyika JamiiTalk App hiyo ita Adapt.
Pakua hapa
Click here to Install JamiiTalk App
Baada ya kujidownload unaweza fungua na ku install App hiyo