Ifahamu Nala Money

Kasomi

JT Founder
Nala Money
Screenshot_20221222-132424_1.jpg

NALA Money ni application ya kifedha iliyoanzishwa mwaka 2017 na Benjamin Fernandes ambayo inatoa huduma ya miamala ya kifedha kama vile kufanya malipo na kutuma fedha Afrika nzima
Kampuni ya NALA Money ipo kwenye baadhi ya nchi za Afrika kama vile Tanzania, Kenya na Uganda tena ipo nchini Marekani na Uingereza. Kwa sasa, NALA haitozi gharama yoyote ile kwa mteja afanyapo miamala ila makato yapo kama kawaida kwenye huduma za kibenki au mitandao ya simu.
Pamoja na wepesi wa kufanya miamala,watumiaji wa NALA wanaweza kufahamu taarifa fupi kuhusu historia ya miamala yao iliyofanyika iwe ya kibenki au mitandao ya kifedha
 
Back
Top