Kasomi
JT Founder
Justin Bieber tajiri mpya ????????????????????????
Mwanamuziki maarufu duniani mwenye asili kutoka nchini Canada Justin Bieber utajiri wake umezidi kukua ambapo umefkia dolla milioni 400 mwezi huu wa disemba !
Kwa sasa Bieber ni tajiri namba mbili kutoka nchini Canada mwenye kitita kirefu huku Céline Dion akiwa nafasi ya kwanza ambae ana utajiri dola milioni 800 ????