Advertise here

Forbes: Mo Dewji ndiye tajiri namba moja Afrika Mashariki

Kasomi

JT Founder
1773165029206.jpg

Jarida la Forbes la Marekani toleo jipya la 2026 limetaja Mohammed Dewji, Mfanyabiashara mashuhuri nchini Tanzania kama tajiri nambari moja kwa nchi za Afrika Mashariki akiwa na utajiri wa Dola za Kimarekani Bilioni 2.1.

Kwa upande wa bara la Afrika, Dewji mwenye miaka 50 anashikilia nafasi ya 14 katika orodha hiyo mpya ya matajiri duniani.

Mfanyabiashara huyo pia ni mwekezaji na rais wa klabu kongwe nchini Tanzania ya Simba SC.
 
Back
Top