Kasomi
JT Founder
KINANA ACHAGULIWA KUWA MAKAMU MWENYEKITI CCM BARA
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wamemchagua Abdulrahman Kinana kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara kwa kura za ndiyo 1875
Wajumbe waliopiga kura ni 1875, hakuna za hapana wala zilizoharibika
Soma -