Kasomi
JT Founder
Pichani kulia ni mwanadada Amber Heard muigizaji maarufu nchini Marekani anayetajwa kama moja ya wanawake warembo zaidi kuwahi kutokea duniani ambaye pia amewahi kudet na Elon Musk
Cha kushangaza kuhusu Amber ni kwamba alianza kudet na Elon Musk huku akiwa mke wa mtu ndani ya ndoa na muigizaji maarufu mtundu Johnny Depp (mzee wa pirates of the Caribbean)
Amber Heard (staa wa movie ikiwemo ile ya Aqua man) Alioana na Johnny Depp mwaka 2015 ila mwaka 2017 akaomba talaka kumbe tayari kuna mchongo kaupata pembeni (Elon Musk) hivyo Johnny Depp bila hiana akakubali kumpa talaka, hatimaye mrembo akahamishia majeshi kwa tajiri
Kichekesho ni kwamba tajiri Elon Musk anahudhuria vikao vizuri, yeye haoagi anajua wadada wengi wanapenda ela zake kiufupi anachunga pesa yake kwa umakini mkubwa kama admin wenu wa page hii maarufu zaidi kwa sasa tz "Dunia Ina Mambo". Elon Musk alidet nae miezi minne tu kisha akaachana nae wengi wakaamini sababu ni ubize wa Elon Musk hivyo kakosa muda wa kutosha kuwa nae pamoja kumbe jamaa alishamstukia mrembo anataka ndoa
Taarifa za ndani zinaeleza Elon Musk aliendelea kula mzigo kimya kimya mpaka mwaka 2018 ambapo ndio Amber Heard alitangaza kuachana kabisa na Elon Musk kupitia account yake ya Twitter akimuita mtu asiyeeleweka asiye na mapenzi ya kweli taarifa ambayo ilikua gumzo kubwa ulimwenguni. Kufuatia tangazo hilo mwaka 2022 Elon Musk aliununua mtandao wa Twitter na kuifuta account ya ex wake huyo. Inasemekana pia ndio sababu ya Elon Musk kuuita mtandao huo "X" akiwa na maana ya ex wake ndio sababu ya yeye kuununua ili kumnyoosha
Basi bwana baada ya Amber Heard kuona Elon Musk myeyushaji na ndoa ashavunja, hesabu zikamwambia hawezi kumdai chochote Elon Musk kwakua mahusiano yao hayakuwa rasmi ila akaamua kugeuka kwa mume wake waliyeachana Johnny Depp ambaye bado alikuwa na utajiri wa kutosha pia takriban dola milioni 200(zaidi ya bilioni 400 za kibongo) japo hamfikii Elon
Amber akafungua kesi ya madai ya udhalilishaji wa kijinsia kwenye ndoa dhidi ya Johnny Depp mwaka 2022 akidai fidia ya angalau nusu ya utajiri wa jamaa kesi ambayo ilikua maarufu mno duniani kote (Depp vs Heard Defamatory trial)
Kama ilivyo Marekani haki ndio msingi, hatimaye mamlaka za upelelezi zikafanya kazi yake kwa uadilifu mkubwa na kubaini madai ya Heard dhidi ya Depp ni ya uongo na hivyo akaamriwa yeye ndio amlipe fidia ya kumchafua jina Johnny Depp kiasi cha dola milioni 10(bilioni 25 za mama anaupiga mwingi)
Wakati huo utajiri wa Amber Heard ulikua dola milioni 11 hivyo akabakia na dola milioni 1 tu kwenye account
Kiufupi hapa slay queen aliingia anga za jamaa wanaohudhuria vikao
Credit: Nado Qaidah