Advertise here

Search results

  1. Kasomi

    Nchi zenye akiba kubwa ya Mafuta ghafi

    Venezuela imekuwa na akiba kubwa ya mafuta ghafi duniani kwa mwaka 2024, ikiwa ni sawa na asili mia 20 ya akiba yote duniani, kwa mujibu wa takwimu za OPEC. Nchi hiyo inakisiwa kuwa na takriban mapipa ya mafuta bilioni 303 ya akiba. Serikali ya Trump imekuwa ikidai mara kadhaa kwamba mafuta ya...
  2. Kasomi

    Haya ndiyo mataifa machache duniani ambayo kwa sasa si mwaka 2026 kwao

    Haya ndiyo mataifa machache duniani ambayo kwa sasa si mwaka 2026 kwao (kutokana na kutumia kalenda tofauti): 1. Ethiopia – wapo mwaka 2018 (Kalenda ya Kiethiopia) 2. Iran – wapo mwaka 1402 (Kalenda ya Kiajemi) 3. Afghanistan – mwaka 1402 (Kalenda ya Solar Hijri) 4. Nepal – mwaka 2082...
  3. Kasomi

    Dreamliner Kuirudisha Taifa Stars Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Ndege maalum (Boeing 787-8 Dreamliner) kwenda nchini Morocco kuwafuata wachezaji na kuwarudisha nchini Tanzania. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa...
  4. Kasomi

    Bilioni 2.761 zatolewa kwa vikundi vya halmashauri ya jiji la Tanga

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amekabidhi hundi yenye thamani ya Bilioni 2.761 kwa vikundi vya wanawake, vijana na wenye ulemavu vilivyonufaika na mkopo wa asilimia 10, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi ya...
  5. Kasomi

    Mikoa inayo ongoza kwa Nyumba zisizo Bora Tanzania

    Mikoa inayo ongoza kwa Nyumba zisizo Bora Tanzania 1- Lindi 2- Tabora 3- Mtwara 4- Ruvuma 5- Rukwa Mikoa inayo ongoza kuwa na nyumba za tope ni; 1- Singida 2- Dodoma 3. Manyara 4. Sinyanga 5. Simiyu
  6. Kasomi

    Nchi 10 zenye idadi kubwa ya Simba Duniani

    Nchi 10 zenye idadi kubwa ya Simba Duniani 1. Tanzania: 14,500 2. Afrika Kusini: 3,284 3. Botswana: 3,063 4. Kenya: 2,515 5. Zambia: 2,349 6. Zimbabwe: 1,362 7. Ethiopia: 1,239 8. Sudan Kusini: 866 9. Namibia: 801 10. Msumbiji: 678 Chanzo: World Population Review
  7. Kasomi

    swali la kijinga

    Huwa nafikiria labda si suala la uwezo, bali ni kipaumbele na nidhamu ya maisha. Anaweza kuwa amejiweka sawa kwenye kazi lakini hajajipanga nyumbani. Yaani nazungumuzia Mwanaume ila sio Mimi
  8. Kasomi

    Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro amekamatwa na wanajeshi wa Delta Force, kikosi cha operesheni maalum cha Jeshi la Marekani

    Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro amekamatwa alfajiri ya leo Jumamosi na wanajeshi wa Delta Force, kikosi cha operesheni maalum cha Jeshi la Marekani. Tukio hili limetokea katika muktadha wa operesheni kubwa inayohusisha vikosi vya Marekani, ambavyo vimejizatiti katika kushughulikia mishemishe...
  9. Kasomi

    YouTube yaongoza kufuatiliwa zaidi Marekani Huku Facebook, Instagram na Tiktok zikifuatia pamoja na Mitandao mingine

    Mitandao hiyo iliyofuatiliwa zaidi Marekani ni kama ifuatavyo: YouTube Facebook Instagram TikTok WhatsApp Reddit Snapchat X (Twitter) Threads Bluesky Truth
  10. Kasomi

    Washirika Wakubwa wa Kibiashara wa Tanzania 2024/25

    Washirika Wakubwa wa Kibiashara wa Tanzania 2024/25: 1. China 2. India 3. Afrika Kusini 4. Umoja wa Falme za Kiarabu 5. Kenya 6. Japan 7. Marekani 8. Ubelgiji 9. Uswisi 10. Uganda
  11. Kasomi

    Usipotumia namba yako ya simu kwa siku 90 mfululizo bila kutoa taarifa kwa mtoa huduma wako, ana haki ya kuifunga na kuiuza kwa mtumiaji mwingine

    Je, wajua Usipotumia namba yako ya simu kwa siku 90 mfululizo bila kutoa taarifa kwa mtoa huduma wako, ana haki ya kuifunga na kuiuza kwa mtumiaji mwingine. Ikiwa hautatumia laini yako ya simu kwa kipindi cha siku 90 mfukulizo, toa taarifa kwa mtoa huduma wako ili kuepuka kufungiwa au namba...
  12. Kasomi

    Hii ndio mikoa 10 masikini zaidi Tanzania mwaka 2023

    Sahihi kabsa mfumo ndo shida Watu wengine kutoka mikoa mingine ndio huchungulia fursa Katika mikoa ya pwani Nazani waliangalia eneo ambalo ni rahisi kufikika ukiwa Tanzania ndo maana wakaangalia eneo la katikati
  13. Kasomi

    Mikoa 10 Tajiri Tanzania Bara kwa kuangalia pato ghafi la mikoa hadi 2024

    Mikoa 10 Tajiri Tanzania Bara kwa kuangalia pato ghafi la mikoa hadi 2024: 1. Dar es Salaam - Trilioni 34.8 2. Mwanza -Trilioni 14.6 3. Mbeya - Trilioni 11.6 4. Morogoro -Trilioni 9.8 5. Arusha - Trilioni 9.7 6. Tanga - Trilioni 9.5 7. Geita - Trilioni 9.3 8. Kilimanjaro - Trilioni 9.3 9...
  14. Kasomi

    Meet Professor Godwin Emmanuel Oyedokun one of the most accomplished scholars and professionals Nigeria

    Meet Prof. Godwin Emmanuel Oyedokun ND (Fin), HND (Acct.), BSc. (Acct. Ed), BSc. (Acct. & Fin.), BSc. (Bus. Admin), MBA (Acct. & Fin.), LLB, LLM, MSc. (Acct.), MSc. (Bus & Econs), MSc. (Tax), MTP (SA), PhD (Acct.), PhD (Fin.), PhD (FA), FCA, FCTI, ACIB, ACS, ACIS, MNIM, FCNA, FCFIP, FCE, FERP...
  15. Kasomi

    Jinsi ya kulipwa $49/task kwa kuwa na Laptop ama simu ya mkononi pekee

    Jifunze namna unaweza kuingia hela mtandaoni kwa kutest website na apps mbalimbali. Testing ni moja ya process muhimu sana kwa kampuni za Teknolojia kufanya kabla hawajapeleka bidhaa yeyote sokoni.Kampuni huwa zinatofautiana namna ambavyo huwa zinatest product zao, nyingine huwa wana timu yao...
  16. Kasomi

    NIDA Yazindua Namba 15274 Kufuatilia Kitambulisho cha Taifa

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa nchini (NIDA) imezindua namba maalum ya ufuatiliaji wa vitambulisho vya taifa ikiwa ni sehemu ya maboresho ya utoaji wa huduma kwa wananchi. KUFAHAMU: Kama Kitambulisho chako cha Taifa kimechapishwa. Mwombaji anatakiwa kutuma ujumbe mfupi wa simu (sms) kama...
  17. Kasomi

    You can now change your @gmail.com address, but there are limits

    Google has begun a gradual rollout of a feature that allows you to change your primary @gmail.com address without creating a new account. This update preserves all existing data, including your inbox, Drive files, and photos. Key Limits and Rules Frequency: You can only change your Gmail...
  18. Kasomi

    Mwandambo Anashikiliwa Kwa Uchochezi na polisi

    HABARI Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Clemence Mwandambo, mkazi wa Mtaa wa Uzunguni “A” ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Awali ya Saint Clemence, jijini Mbeya, kwa tuhuma za kuchapisha na kusambaza taarifa za uongo pamoja na kukashfu imani za dini. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na...
  19. Kasomi

    Misri imekuwa ni Timu ya kwanza kutinga hatua ya Mtoano AFCON

    Timu ya Taifa ya Misri imekuwa ni timu ya kwanza kutinga hatua ya mtoano ya timu 16 bora katika Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Afrika Kusini katika mchezo wa Kundi B uliochezwa mjini Agadir, Morocco jioni ya leo. Shujaa wa ushindi huo ni...
  20. Kasomi

    Watanzania Watoa Milioni 100 kwa Kila Goli la Stars AFCON

    WATANZANIA WATOA MILIONI 100 KWA KILA GOLI LA STARS AFCON Kuelekea mechi kati ya Timu ya ya Taifa ya wanaume (Taifa Stars), Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema amepigiwa simu na Watanzania mbalimbali ambao wameahidi kutoa Sh100 kwa kila goli watakalofunga...
Back
Top