Advertise here

fahamu

  1. Kasomi

    NAPA ni nini? Fahamu Maana yake, kazi yake na jinsi ya kupata

    NAPA ni nini? ➡️Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais – TAMISEMI pamoja na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi walibuni mfumo unaoitwa NaPA. Kirefu cha NAPA ni National Physical Addressing System ➡️Kwa Kiswahili huitwa: Mfumo wa Kidigitali...
  2. Kasomi

    Fahamu kuhusu Erotomania

    Erotomania ni ugonjwa wa akili huwapatao wanawake Ugonjwa huu ni ile hali ya mwanamke kujihisi kuwa yeye ni mzuri saana na kila mtu anampenda yeye kutokana na uzuri wake
  3. Kasomi

    Fahamu kuhusu Utakatishaji Fedha (Money Laundering)

    1.0 UTANGULIZI Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (Tume) ilianzishwa mwaka 1980 kwa Sheria ya Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, Sura ya 171. Kwa mujibu wa Sheria hii pamoja na majukumu mengine, Tume ina majukumu ya kupitia na kutathmini utekelezaji wa sheria zote za Jamhuri ya Muungano kwa...
  4. Kasomi

    Fahamu Kuhusu Majimbo Makuu Katoliki Tanzania

    FAHAMU KUHUSU MAJIMBO MAKUU KATOLIKI TANZANIA. 1. Jimbo Kuu Katoliki Dodoma. Jimbo Katoliki Dodoma lilipandishwa hadhi na kuwa Jimbo Kuu tarehe 6.11.2014. Jimbo Kuu Dodoma linajumuisha majimbo matatu ambayo ni; Singida, Kondoa na Dodoma lenyewe. Askofu Mkuu ni Askofu Beatus Kinyaiya wa Dodoma...
  5. Kasomi

    Kuoga maji moto au baridi? Fahamu athari zake kiafya

    Kuoga maji moto au baridi? Fahamu athari zake kiafya Katika msimu wa baridi kali, watu wengi hupambana na swali moja asubuhi: 'Je, nioge au nisioge?' Ukishaamua kuoga, swali linalofuata hujitokeza: 'Je, nioge kwa maji ya moto au maji baridi?' Watu wengi husema kwamba kuoga kwa maji ya moto...
  6. J

    Fahamu Mtiririko wa Hatua za Ujio wa Yesu Duniani

    Fahamu Mtiririko wa Hatua za Ujio wa Yesu Duniani Hili ni moja ya suala au somo lenye mtafaruku miongoni mwa wakristo. Wengi wameishia hadi kugombana. Wapo wanaoamini kuwa Kanisa litapitia dhiki kuu, ndipo linyakuliwe, na wapo wanaoamini kuwa Kanisa halitapitia dhiki kuu, yaani utaanza kwanza...
  7. Kasomi

    Fahamu mchakato mzima wa uchaguzi Tanzania na Umuhimu wa kupinga Matokeo

    Fahamu mchakato mzima wa uchaguzi Tanzania 2025 Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unafanyika kila baada ya miaka mitano na ni tukio muhimu linalohusisha wananchi kuchagua Rais wa Jamhuri, wabunge wa Bunge la Taifa, na madiwani. Kwa upande wa Tanzania Bara, mchakato mzima unasimamiwa na Tume Huru ya...
  8. Kasomi

    Fahamu Kitambulisho cha NIDA kilipo| Jinsi ya kuchukuliwa Kitambulisho cha NIDA (Kitambulisho cha Taifa)

    Jinsi ya Kufahamu Kitambulisho chako kilipo au iwapo Kitambulisho chako cha Taifa Kimeshachapishwa 1)Tafadhali Piga simu kwenye Kituo cha Huduma kwa Mteja namba 0232210500 kuanzia saa 01:30 asubuhi hadi saa 09:30 jioni, kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa kufahamishwa iwapo Kitambulisho chako...
  9. J

    Fahamu kwa Nini Israeli ni Taifa Teule

    Fahamu kwa Nini Israeli ni Taifa Teule Moja ya maswali yanayoulizwa na baadhi ya watu ni kujua kwa nini Israeli inaitwa taifa teule. Kwa ujumla, taifa la Israeli lilijulikana kama taifa teule la Mungu kwa sababu ndilo taifa pekee duniani kote, ambalo lilikuwa linamuabudu Mungu wa kweli Yehova...
  10. Kasomi

    Fahamu Leo Nchi 15 Tajiri Zaidi Afrika 2025

    NCHI 15 TAJIRI ZAIDI AFRIKA 2025 Kulingana na makadirio ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) ya Aprili 2025, hizi ndizo nchi 15 zenye uchumi mkubwa zaidi barani Afrika (kwa Pato la Taifa - GDP): 1. Afrika Kusini 🇿🇦 - $410.34 bilioni 2. Misri 🇪🇬 - $347.34 bilioni 3. Algeria 🇩🇿 - $268.89...
  11. Kasomi

    Fahamu kuhusu OSINT (Open Source Intelligence)

    Anaandika @Raven OSINT ni nini? OSINT ni kifupi cha OPEN SOURCE INTELLIGENCE. OPEN SOURCE - Chanzo cha wazi INTELLIGENCE - Taarifa Katika lugha ya kiswahili tunaweza sema OSINT ni Taarifa unazoweza kuzipata kutoka katika vyanzo wazi kuhusu jambo fulani kwa lengo fulani. Kufanya OSINT =...
  12. Kasomi

    Fahamu maajabu ya kicheche au Nguchiro

    Kicheche ni mnyama mdogo jamii ya Nguchiro wanaopatikana sehemu mbalimbali duniani. Wanyama hawa hutofautiana mwonekano kutokana maeneo walipo lakini kimsingi tabia zao wote hufanana. Kicheche ndiye mnyama malaya zaidi kuliko mnyama yeyote yule duniani. Umalaya wake unatokana na kuwa kinara wa...
  13. Kasomi

    Fahamu kuhusu Website Hosting na Tofauti zake

    Ufahamu juu ya Website Hosting na tofauti zake Katika dunia ya leo ya mapinduzi ya Internet, website, Application za simu na hata mifumo ya komputa (Systems), vimekuwa ni nyenzo thabiti katika maisha ya binadamu. Wengi wetu tumekuwa tukitumia mifumo hii bila kujua jinsi inavyofanya kazi au ni...
  14. Kasomi

    Fahamu kwa nini Mtoto hucheza na Nyoka pasipo kung'atwa

    Kikawaida binadamu ana tezi inaitwa "Adrenal grand" ambayo huzalisha homoni mbali mbali..... Miongoni mwa homoni hizo ni "adrenaline" ambayo kazi yake kubwa ni kuamsha hisia kwenye mwili. Hisia zinaweza kuwa kuhisi hatari, ko ile homoni inamwagwa mwilini kuuandaa mwili kupambana na hatari hiyo...
  15. Kasomi

    Fahamu Gharama na taratibu za kuanzisha Radio za Masafa (FM) Nchini Tanzania

    Chapisho hili ni la Mwaka 2020 hivyo kuna baadhi ya gharama zinaweza kuwa tofauti na sasa. Kwanza kabisa kuna makundi matatu ya radio:- 1. Commercial Radio. (Za kibiashara) 2. Public Radio (Radio za watu wenye lengo/dhumuni maalum, kama vile makanisa, mashirika, asasi n.k) 3. Community Radio...
  16. Kasomi

    Fahamu Rangi Za Kasula (vazi analovaa kuhani yaani Padri au Askofu) Na Maana Yake Kanisa

    FAHAMU RANGI ZA KASULA NA MAANA YAKE KATIKA KANISA. Kasula ni vazi analovaa kuhani (Padri au Askofu) kwa Kiingereza tunaita Chasuble hutofautiana kwa rangi kadri ya majira ya Kanisa. 1.Kasula yenye rangi ya Kijani huonyesha matumaini huvaliwa katika kipindi cha kawaida cha mwaka wa Kanisa...
  17. Kasomi

    Fahamu Historia ya NIDA (National Identification Authority)

    Historia ya NIDA 1968: Wazo la kuanzisha Vitambulisho vya Taifa Wazo la kuanzisha Vitambulisho vya Taifa kwa raia wa Tanzania na wageni wanaoishi nchini Tanzania lilizaliwa mwaka 1968 katika kikao cha 'Interstate Intelligence Gathering' kilichojumuisha wajumbe kutoka nchi za Tanzania, Kenya...
  18. Kasomi

    Fahamu Mambo 70 kuhusu Legend wa Soka Hayati Pelé (Edson Arantes do Nascimento)

    Fahamu Mambo 70 kuhusu Legend wa Soka Hayati Pelé Tarehe ya kuzaliwa: Oktoba 23, 1940 (10-23-1940) Thamani Halisi: $100 milioni Kazi: Mwanasoka wa Zamani Urefu: futi 5 inchi 8 (sentimita 173) Uzito: lbs 161 (kilo 73) Nafasi: Mbele, Mshambuliaji Miaka Aliyotumika: 20 (1957-1977) Ushindi...
  19. Kasomi

    Uzi Maalumu wa Je, Wajua?

    Huu ni Uzi Maalumu wa kuweka na kujuzana Mambo tusiyo yakua na kufahamishana. ==== Je, wajua Mkoa wa Dar es salaam una idadi kubwa ya Watu kuzidi Nchi ya Croatia? Mkoa wa Dar es Salaam una watu wengi zaidi, 5,282,728 sawa na asilimia 8.7 ya watu wote nchini Tanzania wakati Croatia ina idadi ya...
  20. Kasomi

    Ulinzi wa Rais wa Korea kaskazini Kim Jong "Kiduku"

    ULINZI WA KIM JONG "KIDUKU". Kama inavyofahamika dhahiri kuwa ni vigumu kwa mwanga wa mshumaa kudumu katikati ya upepo wa kimbunga unaoangusha maghorofa; vivyo hivyo ni vigumu hata kwa ‘inzi’ mwenye nia ovu kumsogelea Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un. Huyu ni kiongozi ambaye vyombo...
Back
Top