Kulingana na taarifa za hivi karibuni mnamo Aprili 2026, siafu aina ya Malkia (hasa Giant African Harvester Ant) wanauzwa kwa bei ya juu sana katika soko haramu, huku mmoja akiweza kugharimu hadi dola za Kimarekani 200 hadi 220 (sawa na zaidi ya shilingi za Kitanzania 500,000).
Hapa kuna mambo...
Wakati wanaanga wanne wa misheni ya Artemis II wakiwa njiani katika safari ya siku nne kurejea duniani baada ya kusafiri umbali wa kihistoria wa zaidi ya kilomita 406,000 kuzunguka mwezi, mjadala kuhusu anga na uchunguzi wake umeibuka upya. Lakini mbali na sayansi na safari hii ya kipekee, kuna...
Watu hushangaa wanavyo sikia kuwa Dubai sio nchi sababu wengi huzani Dubai ni nchi, lakini ukweli ni kwamba sivyo, Dubai ni Emirate tu yaani Milki au falme.
Lakini shaka hii ya iwapo Dubai ni nchi hutokea kutokana na uwezo wake na umaarufu wake duniani hivyo ndipo watu wengi huzani hii ni nchi...
TANZIA: Aliyewahi kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jimbo la Kilwa Kusini kupitia Chama cha CUF, Seleman Said Bungara maarufu kwa jina la Bwege, amefariki Dunia, Machi 30, 2026 akiwa hospitali ambako alikuwa akipatiwa matibabu.
Enzi za uhai wake Bwege amewahi kutumikia...
Fatma Karume kutoka Familia ya Viongozi hadi kuwa Mwanaharakati
Huyu ni mwanaharakati kutoka katika familia ya viongozi; babu yake Shekhe Abeid Karume alikuwa muasisi na Rais wa kwanza wa Zanzibar, baba yake Aman Abeid Karume alikuwa rais wa awamu ya saba wa visiwa hivyo huku baba yake mdogo...
Taumatawhakatangihangakoauauotamateaturipukakapikimaungahoronukupokaiwhenuakitanatahu
Hilo ndilo jina la kilima nchini New Zealand lenye urefu wa herufi 85, likishikilia rekodi ya kuwa jina refu zaidi la mahali duniani. Liko karibu na Porangahau, Hawke's Bay, na linatokana na hadithi ya...
Yoweri Kaguta Museveni ametawala nchini Uganda kwa muda wa miaka 40 (hadi kufikia mwezi huu wa Januari 2026).
Aliingia madarakani tarehe 29 Januari 1986 baada ya kuongoza vita vya msituni dhidi ya serikali ya kijeshi ya Tito Okello. Tangu wakati huo, amekuwa madarakani bila kukatiza, jambo...
ULIWAHI KULIJUA HILI?
Tanzania Tuliwahi Kutumia Noti Za Shilingi 100 Za Aina 10 Tofauti Kutoka Mwaka 1966 Mpaka Kufikia Mwaka 1994 Ambapo Noti Ya Shilingi 100 Ilibadilishwa Na Kuwa Sarafu!!
Jifunze namna unaweza kuingia hela mtandaoni kwa kutest website na apps mbalimbali.
Testing ni moja ya process muhimu sana kwa kampuni za Teknolojia kufanya kabla hawajapeleka bidhaa yeyote sokoni.Kampuni huwa zinatofautiana namna ambavyo huwa zinatest product zao, nyingine huwa wana timu yao...
Manongu ni msanii wa muziki wa jadi wa Kitanzania, akiwa na mizizi imara katika tamaduni za Kisukuma.
Alifundishwa na marehemu Mzee Edward Mashiku Ntemi kiongozi mashuhuri wa
ngoma wa Kikundi cha Wana Cesilia kutoka Makumbusho ya Sukuma na Kituo cha
Utamaduni cha Bujora ambapo alijitokeza kama...
Nimefuatilia mwandiko mengi kuhusu Mchungaji Kibweteere na wafuasi wake mengine yakitaja alikuwa padre mengine yakikanusha.
Je kibweteere ashawahi kuwa padre?
Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteuwa aliyekuwa Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba na Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.
Mapema ya leo Novemba 13.2025 Mpambe (ADC) wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan...