mungu

  1. J

    Kuna tofauti kati ya ndoto ya Mungu na ya shetani

    Kuna tofauti kati ya ndoto ya Mungu na ya shetani Maarifa yanayohusiana na ndoto ni mapana. Hata hivyo, kwa ufupi, zipo ndoto za aina tatu. 1. Ndoto zinazotokana na shughuli unazofanya Ndoto hizi ndizo mara nyingi zinamjia mtu. Kwa mfano: mtu alikuwa anafanya shughuli fulani siku nzima, usiku...
  2. J

    Lugha iliyotumika kati ya Adamu na Mungu kwenye bustani ya Eden

    Lugha iliyotumika kati ya Adamu na Mungu kwenye bustani ya Edeni Biblia haijataja lugha gani ilikuwa inatumika pale bustani ya Edeni. Ingawa Mungu ana uwezo wa kuzungumza na sisi pasipo lugha na tukamwelewa, lakini ni wazi kuwa kulikuwa na lugha fulani iliyotumika, kwa sababu Mungu ametuumba...
  3. J

    Mtu anayetungisha mimba wenye chupa maabara ana hatia mbele ya Mungu au la

    Mtu anayetungisha mimba wenye chupa maabara ana hatia mbele ya Mungu au la Kwanza ni muhimu kufahamu nini maana ya watoto wa kwenye chupa. Ikitokea mama anakuwa ana mayai lakini anapata shida kushika mimba, huwa kuna uwezekano wa kuyatoa mayai yake kutoka kwenye uzazi na kuyaweka kwenye kifaa...
  4. J

    Kwa nini Mungu aliwapeleka wana wa Israeli katika nchi ya Kanaani ambayo ililaaniwa?

    Kwa nini Mungu aliwapeleka wana wa Israeli katika nchi ya Kanaani ambayo ililaaniwa? Hebu turejee maandiko katika kitabu cha Mwanzo 9: 20 “Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu; 21 akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake. 22 Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake...
  5. J

    Ni kwa Vipi Daudi Alivyoupendeza Moyo wa Mungu

    Ni kwa Vipi Daudi Alivyoupendeza Moyo wa Mungu Daudi ni nani Hebu tusome katika Matendo 13:21 “Hatimaye wakaomba kupewa mfalme; Mungu akawapa Sauli mwana wa Kishi, mtu wa kabila ya Benyamini, kwa muda wa miaka arobaini. 22 Na alipokwisha kumwondoa huyo, akamwinua Daudi awe mfalme wao ambaye...
  6. J

    Dhambi ni tamu. Tupate habari zaidi

    Dhambi ni tamu. Tupate habari zaidi Dhambi ni Nini? Dhambi ni tendo, hisia, au wazo lolote linalopingana na viwango vya Mungu. Inatia ndani kuvunja sheria za Mungu kwa kutenda mabaya, au ukosefu wa uadilifu, kwa maoni ya Mungu. (1Yohana 3:4; 5:17). Biblia pia inaeleza kuhusu dhambi ya kutofanya...
  7. J

    Wana wa Mungu na Binti za Wanadamu kwenye Maandiko ni Nani

    Wana wa Mungu na Binti za Wanadamu kwenye Maandiko ni Nani Kitabu cha Mwanzo 6 kinasema: 1 “Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao, 2 wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wo wote waliowachagua". Vile vile...
  8. J

    Maombi Yetu kwa Mungu Hupitia Madarasa Yake

    Maombi Yetu kwa Mungu Hupitia Madarasa Yake Madarasa ya Mungu ni nini Haya ni mafunzo ya kiroho katika ulimwengu wa roho, yanayofanywa na Mungu mwenyewe. Hebu tuangalie Ezekiel 36:26-27: 26 Nami nitawapa ninyi moyo mpya, nami nitatia roho mpya ndani yenu, nami nitatoa moyo wa jiwe uliomo ndani...
  9. J

    Tusisahau Kutekeleza Maagizo ya Mungu

    Tusisahau Kutekeleza Maagizo ya Mungu Mfano kuhusu Nabii Musa Kitabu cha Kutoka 4:24, kinasema: Akiwa bado njiani kurudi Misri, Musa alikuwa mahali pa kulala wageni; basi, Mungu alikutana naye na kutaka kumuua. Tuangalie ni kwa nini Mungu alitaka kumuua Musa mwanzoni kabisa mwa huduma yake...
  10. Kasomi

    Mjue Seneta Aliye Mshitaki Mungu

    pichani: Seneta Ernie Chambers MJUE SENETA ALIYE MSHITAKI MUNGU. Seneta Ernie Chambers, Seneta wa Nebraska Marekani mwaka 2008 alimshitaki Mungu mahakamani. Seneta Chambers aliiomba mahakama itoe "ZUIO" la kudumu dhidi ya Mungu kufanya shughuli zake zenye madhara kama kuleta mafuriko...
Back
Top