nini

  1. Kasomi

    Kwa nini Konokono akimwagiwa Chumvi anaweza kufa

    Konokono akimwagiwa chumvi anaweza kufa kwa sasa kukauka maji mwilini (dehydration) sababu chumvi huvuta maji kutoka kwenye mwili wake kupitia mchakato wa kisayansi unaoitwa Osmosis. Konokono ana mwili wenye unyevunyevu sana. Chumvi inapogusa mwili wake: Chumvi huifanya maji kutoka kwenye seli...
  2. J

    Yesu alimaanisha nini kwa kusema waache wafu wazike wafu wao

    Yesu alimaanisha nini kwa kusema waache wafu wazike wafu wao Tamko hilo lilitolewa na Yesu, kupitia kitabu cha Mathayo 8:21. Ili kufahamu vizuri habari hii, twende kwenye historia ya Wayahudi/Waisraeli katika tamaduni zao kuhusu shughuli za mazishi. Waisraeli walivyozika zamani siyo kama...
  3. Kasomi

    NAPA ni nini? Fahamu Maana yake, kazi yake na jinsi ya kupata

    NAPA ni nini? ➡️Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais – TAMISEMI pamoja na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi walibuni mfumo unaoitwa NaPA. Kirefu cha NAPA ni National Physical Addressing System ➡️Kwa Kiswahili huitwa: Mfumo wa Kidigitali...
  4. J

    Yesu Alipopanda Mlimani Kuomba kwa Nini Alitokewa na Musa na Eliya?

    Yesu Alipopanda Mlimani Kuomba kwa Nini Alitokewa na Musa na Eliya? Katika ule mlima mrefu, aliopanda Yesu na wanafunzi wake kuomba, kwa nini atokewe na Musa na Eliya na siyo manabii wengine, kama vile Isaya au Samweli? au Ezekieli? Kutokewa na wale watu halikuwa kwa lengo lake. Bali lilikuwa...
  5. J

    Kwa nini Mungu aliwapeleka wana wa Israeli katika nchi ya Kanaani ambayo ililaaniwa?

    Kwa nini Mungu aliwapeleka wana wa Israeli katika nchi ya Kanaani ambayo ililaaniwa? Hebu turejee maandiko katika kitabu cha Mwanzo 9: 20 “Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu; 21 akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake. 22 Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake...
  6. Kasomi

    Kwa nini Bili za maji husoma hata kama hutumii au maji yamekata?

    Hii ndio sababu unatumiwa bili ya Maji hata usipotumia Kuna muda Maji hua yanakata lakini baadae hutumiwa bili na kuhisi unaibiwa sababu hujayatumia basi sababu ni hii. 1- Mashirika ya Maji Tanzania hutumia Makadirio (Estimated Billing) – hii ndio Sababu kubwa zaidi Mara nyingi shirika la maji...
  7. Kasomi

    Kwa nini Serikali isi print hela nyingi ili Kila Mtu awe nazo?

    Serikali haiwezi tu kuchapisha hela nyingi ili kila mtu awe nazo kwa sababu kufanya hivyo husababisha matatizo makubwa ya kiuchumi, hasa mfumuko wa bei (inflation). Hebu tueleze kwa lugha rahisi: 1. Hela nyingi bila uzalishaji = Bei kupanda Hela ni kama tiketi ya kununua bidhaa. Kama serikali...
  8. Kasomi

    kwa nini Ndege huacha mistari kama Moshi ikipita juu?

    kwa nini Ndege huacha mistari kama Moshi ikipita juu Mistari hiyo unayoiona angani baada ya ndege kupita inaitwa contrails (kwa kifupi cha condensation trails). Ingawa inaonekana kama moshi, kimsingi ni mawingu madogo yanayotengenezwa na binadamu. Hapa kuna sababu kuu kwa nini mistari hiyo...
  9. J

    Kwa Nini Yesu Aliwaambia Baadhi ya Aliowaponya Waende Kujionyesha kwa Makuhani

    Kwa Nini Yesu Aliwaambia Baadhi ya Aliowaponya Waende Kujionyesha kwa Makuhani Kuhani ni nani Kuhani ni mtu ambaye katika dini nyingi, anashika nafasi ya mshenga kati ya Mungu na binadamu. Kitabu cha Waebrania 3:7-8: "Ikiwa leo mtaisikia sauti yake, msifanye migumu mioyo yenu." Waebrania 7:17...
  10. Kasomi

    Je, endapo Jua likimwagiwa Maji nini kitatokea?

    NINI KITATOKEA TUKILIMWAGIA JUA LETU MAJI❔ Endapo tutafanikiwa kutafuta ndo au diaba kubwa lenye ujazo sawa na jua kisha tukajaza maji humo baada ya hapo tukaenda tukalimwagia jua maji !; Kitakachotokea ni kwamba jua ☀️ halitazimika bali jua litaongezeka ukubwa na uzito kutokana na kuongezeka...
Back
Top