Advertise here

Mtandao wa Whatsapp wametangaza feature mpya ya kuweza kuruhusu watu kuweza kureshare status

Kasomi

JT Founder
đź’­ Mtandao wa Whatsapp wametangaza feature mpya ya kuweza kuruhusu watu kuweza kureshare status kupitia simu zao.
1747601508924.jpg

đź’­ Japo feature hii kwa sasa iko kwenye majaribio , ila ni feature ambayo itawapa watu uwezo wa ku share status ya rafiki || ndugu || jamaa ambayo amepost kupitia Mtandao wa Whatsapp.

đź’ˇ Jambo muhimu zaidi kuhusu feature hii kuwa Wakati mtu re share status ya mtu Namba ya simu itakua hidden haitaweza kuonekana na kuhakikisha taarifa binafsi haziwezi kusambazwa.

đź’ˇ Pia feature hii itaweza kufanya kazi mpaka pale muhusika akiweza ku enable kuweza kuruhusu status zake watu waweze ku reshare, hii ni tofauti na ile njia ya ku mention mtu kupitia mfumo wa (@).

Isipokuwa mtu yeyote mwenye namba yako anakua na uwezo wa ku reshare status yako ikiwa ameipenda na kuiweka kwenye status yake kwa urahisi bila kuomba omba inbox sijui humtumie nk.
 
Back
Top