Matumizi ya maneno damu na jina la Yesu
Kumekuwa na mjadala kuhusu matumizi ya maneno DAMU ya Yesu na JINA la Yesu.
Hebu tuangalie misingi ya tofauti ya matumizi ya maneno hayo.
Kwa waaminio au wafuasi wa Yesu Kristo, je, damu ya Yesu ina kazi ya kutulinda sisi au mali zetu pale tunapoomba...