Mi 3 ya JamiiTalk; Shiriki kutoa Maoni Mapendekezo na ushauri

JamiiTalk

Official Support Account
Habari,
Leo JamiiTalk imetimiza miaka 3 Tangu kuanzishwa kwake.
Hivyo tungependa kusikia maoni kutoka kwako kuhusu Mtandao huu wa JamiiTalk. Uzi huu utakuwa LIVE Mpaka tarehe 23/03/2025 ili kuwa ruhusu wadau wachangie mambo mbalimbali.
Green Cryptocurrency YouTube Thumbnail_20250322_030922_0000.png

Pia unaweza soma hapa JamiiTalk Yafikisha Miaka 3!
 
Back
Top