Advertise here

Jinsi ya kuboost tangazo facebook kwa walio pata kizuizi

Kasomi

JT Founder
Habari njema kwa wale walio zuiliwa kutangaza (kuboost) kurasa zao katika Mtandao wa Facebook.
Kwa sasa Kurasa (Page) nyingi za Facebook hawapati option ya kuboost Post zao kama ilivyokuwa Awali, maana wakitaka kutangaza wanapata arifa ya Bosting unavailable
IMG_20210601_203439_462~2.jpg

Au kwa page inayo onekana hivi
Screenshot_20220415-170458~2.png

Sasa alternative ya kuboost kwa ukurasa huo ni kama ifuatavyo.


1- Tengeneza account nyingine mpya (Personal account isiwe page).

2- Rudi kwenye account yako ya zamani (uliyo tumia kutengenezea page)

3- Nenda kwenye upande wa page yako (yaani kwenye settings za ukurasa)

4- Kisha bonyeza settings >page roles >click add person Yani add account hio nyingine mpya uliotengeza then ipe access ya editing (yaani hapo ongeza muhariri kwenye page yako kwa kuongeza personal account uliyo fungua)

5- Login kweye account mpya uliyotengeneza (ile personal account uliyo ipa uhariri)

6- Kisha accept notification ya kua editor kwenye page yako (utaikuta arifa hii kwenye upande wa arifa)

7- Boom! Sasa unaweza kuboost Tena page yako kupitia account yako mpya.

Hivyo kila ukitaka kuboost tangazo kwenye ukurasa wako tumia personal account yako mpya na fuata taratibu zote za kulipia Tangazo (Boost).

Hapo tatizo utakuwa ume solve.
 
Back
Top