Kasomi
JT Founder
Maelezo Kuhusu Kujisajili kwenye Mfumo wa Chuo cha IAA kwa Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza
Kwa mwanafunzi mpya wa mwaka wa kwanza katika Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), unapaswa kujisajili rasmi kwenye mfumo wa chuo ili kuweza kukamilisha usajili kabla au baada ya kufika chuoni
Ili kujisajili bonyeza kiungo hicho chini
OAS login
Fungua Mfumo wa ORS (Online Registration System)
Kisha jaza taarifa zako na mwisho pakua fomu kwa ajili ya usajil
Ku-login kwa Mara ya Kwanza
- Username: Namba yako ya kidato cha nne yenye format kama SXXXX-XXXX-XXXX
- Password ya awali: nextlevo
Kujaza Taarifa Muhimu
- Jaza taarifa binafsi (Personal details)
- Upload picha (passport size)
- Upload nyaraka muhimu kama Cheti cha kuzaliwa na Fomu kutoka hospital
Kulipia Ada
- Tumia control number inayotolewa kwenye mfumo kulipia ada kupitia benki au Mitandao ya simu.