Kasomi
JT Founder
META YAZINDUA APP MPYA KUSHINDANA NA CHATGPT
Meta Platforms imezindua app mpya ya akili mnemba (AI) inayojitegemea, ikilenga kuchochea ushindani mkubwa dhidi ya ChatGPT ya OpenAI. App hii ya kisasa imeundwa kwa kutumia teknolojia ya Llama AI model, ikileta urahisi na ubunifu wa hali ya juu kwa watumiaji duniani kote.
Kipengele cha "Discover feed" kinachopatikana kwenye app hii huwaruhusu watumiaji kuona maoni na matumizi ya wengine, huku kikitoa njia za kuboresha ufanisi wa huduma.
Uzinduzi huu ni hatua muhimu kwa Meta katika mbio za ushindani kwa majina mengine makubwa kama Anthropic Claude, Google Gemini, na xAI Grok ya Elon Musk.