Dalili 7 Kwamba Huyo Mwanamke Uliyenaye Hakupendi Ila Anakutumia Wakati Akitafuta Mwanaume Mwingine Wa Saizi Yake!
Kuna wakati unaweza kuwa kwenye mahusiano ukiamini kuwa mwanamke uliyenaye anakupenda, ukajitoa kwake kwa kila kitu lakini yeye ni kama anakutumia bila kujijua unajikuta unatumia nguvu kubwa kwake mwisho anaishia kukuacha. sasa mwanaume kuna dilili ukiziona kwa mwanamke basi jua huyo si mwanamke wako, kimbia sana ondoka endele na maisha yako la sivyo utakuja kulia, zipo nyingi ila hapa ni tisa kubwa za kuwa makini nazo!
(1) Anakuabania sana kuhusu kuonana na wewe!
Ni mpenzi wako, Lakini kila wakati mkipanga kuonana ni kama mnalazimishana, mnaweza kuchat vizuri mtandaoni, kupigiana simu lakini likija suala la kuonana anatafuta sababu tu ili asikuone! Hata kama si ishu ya kulala naye, hapana ni ile tu kuwa pamoja muongee inakua ngumu sana.
Wakati mwingine mnapanga kabisa kuhusu kuonana, lakini siku ikifika utashangaa kuna kitu tu kimetokea, anakuambia tutapanga wakati mwingine, sijui nitakucheki na mambo kama hayo. Ukiangalia basi si kama yuko bize kihivyo, hapana wakati mwigine hata hana kazi au ana kazi lakinia anapata muda wa kufanya vitu vingine ila si wa kuonana na wewe, kwa mfano, anapopata muda wa kutoka ana marafiki zake, kuhudhuria sherehe na matukio lakini likija suala la kuonana atakuzungusha kama unamuomba figo!
(2) Anamuongelea sana X wake!
Iwe ni kwa kumlalamikia mambo aliyokua anamfanyia, iwe ni anampenda sana X wake au ni wa kukulinganisha na X wake lakini kama uko na mwanamke lakini hawezi kupitisha siku bila kumuongelea X wake basi jua kuwa huyo mwanamke si wako. Ni mwanamke ambaye anakutumia ili kumsahau X wake na dakika yoyote mwammba akipiga simu kuomba msamaha utaachwa hata kama mmebakiza wiki mfunge ndoa.
Iko hivi mwanamke ambaye ameshamsahau X wake hana haja ya kumzungumzia hata kama ni kwa ubaya. Ukiona ni Fulani alinifanyia hivi, hayuko kama wewe wewe ni mwanaume mzuri, sijui nilishawahi kuja hapa na X wangu, sijui kampost mwanamke wake, bado ananitafuta, sijui hiki na kile! Yaani hata X wake akafa lakini akaja kukuamabia flanai amekuifa sijui X wake aaoa akaja akukaumabaian kuwa mwamba akaoa, jua kuwa huyo ahajmsahu X wake ndugu yangu wmanamke huyo si wako!
(3) Anazungumzia wanaume wengine kila mara na kuonyesha jinsi wanavyomjali flani hivi!
Mara anakauambaia kuna amakaka ananyitongoza eti akninunulaic ahakula! Falani kials iku ofisni anapenda kunisifia amrtaako yangu! Hivbi wanauame wakoje, ayaani kila nikipita pelae yulekakaa lazima anitongoze niemamauambaioa nina mtu wangu lakini wapi ananitakaa tu! Yule rafiki yangu ni mataarabus ana sijui ukiwa na shaia ni anaksuaidia!
Wakati wminginbe nia nataka kukutia tu wivu ili umhanagikie sana alkini amara nyintgi ni akam anakauamabai akuwa kuan wanaume wengine wananitaaka dakiak yoyote nawakubali! Cha kufanaya muambie ukiwa na amimi sitaki huo ujinfga wa kutaja wanaume wengine, ukiona ahatchi kial dakiak nikusifia wanaumew engine au kuongelea mamaboa wanayomfanyia, mauche kawanz akili ayke itulie la sivyo utapiogwamatukio mpaka uchanganyikiwe!
(4) Ana marafiki wengi wa kiume ambao anatumia muda mwingi nao!
Wanamsifia na kuonyesha kumtaka!
Ni mwanamke wako, lakini anatumia muda mwingi na wanaume kuliko wewe. Anajifanya ni marafiki zake, haialali nao lakini anawapa kipaumbele kuliko wewe. Rafiki yake wa kiume akiwa anadai, tahanagika kumsaidia na kumfanyia kila kitu.
Mfano: Anasema ataenda hospitalini kumuona, atampikia na kumfanyia kila kitu, unaweza kufikiri ni mke wake!
Anatoka nao out, club, na anajifanya kuwa "mimi sipendi marafiki wake" wakati wao ni wanafiki!
Wanamsifia mbele yako na kukuambia umepata mwanamke mzuri, na haoni shida kuwakaribisha kwenye meza yenu kama mmetoka out! Anaenda nao na ukimuuliza anakwambia wale ni "kaka zangu, siwezi kufanya nao chochote!"
Ndugu yangu, kama hawezi kuacha urafiki wa namna hiyo na wanaume au mwanaume fulani, ndugu zangu, achana na huyo mwanamke!
Narudia, achana na huyo mwanamke, si mwanamke wako! Ni suala la muda tu, ataliwa na wewe utabaki kulia! Mwanamke anayekuheshimu hawezi kuwa na ushost wa namna hiyo na wanaume wengine!
(5) Jihadharini na meseji zako, anaka kama ikitokea akakujibu basi ni baada ya kuchukua muda sana na majibu yake ni mafupi!
Kiasilia wanawake hupenda kuchat, lakini kuna ambao hawapendi. Ila kama unamuona anachata na watu wengine, labda akishaamka simu kuchata, na data yake ni kama masaa mawili, anakuwapo tu na kujibu kila meseji, lakini meseji zako zinajibiwa na emoji.
Unajitahidi kutuma ujumbe mzuri lakini anajibu "hahaha", "ok", "poa" — hakuna kitu kingine.
Dugu yangu, kuna uwezekano mkubwa kuwa huyo mtu si wako. Hakuulizi chochote, yeye ni “poa tu,” “sawa,” “nitakucheki.”
Ni kweli kuna watu hawapendi kuchat, lakini kwa mwanamke ambaye hayuko bize kihivyo, si uajabu akiweka kipaumbele kwa wengine. Mwanamke anayechat na watu wengine, kwako angeweza kujibu vizuri pia.
(6) Anaonyesha kujali pale ambapo unamwacha kujali!
Unahangaika kumuonyesha mapenzi, unahangaika kumfanyia kila kitu lakini hajali. Ila ukiamua kukaa kimya, humtumii meseji tena, humtafuti tena, hupigi simu tena — akiamua ndiyoo anaonyesha kujali!
Anaonyesha anakupenda, anafanya kila kitu kukurudisha, anajifanya kulalamika kuwa umemsahau sasa, umemkimbia.
Wakati mwingine anataka kukupa lawama za kila kitu kuwa umebadilika ndiyo maana yeye alikuwa hivyo!
Hapa ni kwamba si kwa kuwa anakumiss, bali anagundua jinsi ulivyokuwa unamhangaikia, anataka uendelee kumhangaikia.
Na ukiona kama ukijirejesha kumhangaikia hatakutafuta tena, anakaa kama zamani — ndugu yangu, ondoka hapo!
Hakuna mapenzi tena, ni unapoteza muda wa mkeo tu!
(7) Mwisho, kama ni mwanaume unashambuliwa na mapenzi, hembu soma kitabu changu.
Huna haja ya kulia na kuendelea kulalamika kila siku. Maisha ni mafupi, unapendekeka!