Kasomi
JT Founder
Habarini wana jukwaa. Tukiwa bado Tunashughulikia uwepo wa Application ya JamiiTalk (JamiiTalk App) JT App, Hivyo nimeamua kuwaletea mbadala wa kutumia JT kwa kuiongeza kwenye screen ili itumike kama App.
Hatua za kufuata ili kuiongeza kwenye screen tovuti ya JamiiTalk ni kama ifuatavyo;
1- ingia kwenye kivinjari chochote ukiwa tayari umeunganishwa na internet Mfano wa kivinjari (Browser) ni Google chrome au Mozilafire fox. Tafuta anwani ya JamiiTalk yaani jamiitalk.test
2- Baada ya hapo anwani ya JamiiTalk itafunguka na kuonekana kama ilivyo hapo chini.
3- Baada ya hapo utabonyeza vidoti vilivyo juu kulia kama picha hii chini.
4- Kisha italeta machaguo mengi(options), hivyo teleza chini mpaka palipoandikwa ongeza kwenye skirini ya kwanza au Add to home screen (kwa lugha ya kiingereza) kisha bonyeza
Kama ilivyo hapa.
5- Itakupa nafasi ya kuongea kwenye screen hivyo utabonyeza palipo andikwa ongeza kwenye skirini ya kwanza, kwa watumiaji wa kingereza itaandika Add to home screen.
Bonyeza neno ongeza (Add) Kama ilivyo Pichani hapa.
6- ukibonyeza ongeza kama hapo juu itakuletea tena option ya mwisho ya kuongeza kama ilivyo kwenye picha hapa chini. Bonyeza neno ongeza na hapo itakuwa tayari imeongezwa kwenye screen yako ya simu au desktop.
7- Mwisho kabisa Tovuti ya JamiiTalk itaonekana kwenye screen yako kama App (kielelezo hapo chini).
Hivyo ukitaka kuperuzi Tovuti ya JamiiTalk hutalazika kwenda kwenye kivinjari chochote ili kutafuta hivyo utakuwa unaperuzi kupitia kwenye screen yako kwa kuibofya hiyo Tovuti (Mfano wa App)
NB: Endapo ukiongeza Tovuti kwenye screen yako na ukashindwa kuiona mwanzo.
Itazame mwishoni mwa App zote za simu yako na hapo unaweza ivuta na kuisogeza mwanzoni kabisa ili usipate Tabu ya kuipata.

Kwa watumiaji wa simu itaonekana hivyo
NaItaonekana hivi kwa watumiaji wa desktop