FUTURE PRESIDENT
Member
Ni kama vile wanapata ushindi wa kulazimisha sana,dakika za lala salama,ni kusema ni wa.kawaida!?IPO siku na sio mbali wataangukia pua!!?
Mechi Tano za ligi na ushindi wa asilimia zote,Ni kama wanabahati TU coz wanalazimisha sana kupata ushindi wao!
We waonaje!!?
Mechi Tano za ligi na ushindi wa asilimia zote,Ni kama wanabahati TU coz wanalazimisha sana kupata ushindi wao!
We waonaje!!?