NASIKIAA.....KUNA UKWELI WOWOTE???

Watu wanaombea wengine mabaya hatari
Ikithibitika humphrey hatunae,Damu yake ni nzito sana huyo jamaa kwenye Kuta za kijasusi za taifa lazima Kuna jambo watafanya walioondokewa!!

Nilisoma sehem kwamba alikua "head of the mission untill 2027" he wahusika watampata mbadala wa pole pole au mission Yao ishafeli!!?au polepole ndio Brother!!alieandikwa na Tumia akili kwenye Uzi ule wa "Brother haya ndio mambo ya msingi tutakayoyatazamia hivi karibuni""!!?

KAZI na utu,tunasonga mbele!je ndio utu wenyewe huu!!?
 
Uroho wa madaraka ni hatari sana watu wako tayari kufanya lolote kwa wenzao ili wabaki madarakani
 
Similar threads

Back
Top