Kasomi
JT Founder
ANAANDIKA BONGO ZOZO "BALOZI WA UTALII TANZANIA".
Kutokana na hali ya uvunjifu wa amani na kupotea kwa utu nchini Tanzania, nimeamua kujiuzulu rasmi katika nafasi yangu ya Balozi wa Utalii.
Nimesikitika sana kuwaangusha Watanzania kwa ujumla, pamoja na ndugu yangu aliyeniteua, Mheshimiwa "Hamisi Kigwangalla", na marafiki wengi niliowapata kupitia jukumu hili.
Ninawashukuru kwa moyo wangu wote kwa imani, upendo, na fursa mlizonipa. Ila kwa maumivu makubwa ninayohisi moyoni, nimegundua siwezi kuendelea - siwezi, siwezi siwezi hadi siku nitakapopoa.
Namwomba Mungu siku hiyo ifike mapema, ili aondoe maumivu haya moyoni mwangu na nirejee na amani ndani yangu na katika nchi ya Tanzania.
MWISHO