Advertise here

Nchi 15 zenye watu wengi Duniani

Kasomi

JT Founder
1765123577388.jpg

  1. India: ~1.46 billion​

  2. China: ~1.42 billion​

  3. United States: ~347 million​

  4. Indonesia: ~286 million​

  5. Pakistan: ~255 million​

  6. Nigeria: ~238 million​

  7. Brazil: ~213 million​

  8. Bangladesh: ~176 million​

  9. Russia: ~144 million​

  10. Ethiopia: ~135 million​

  11. Mexico: ~132 million​

  12. Japan: ~123 million​

  13. Egypt: ~118 million​

  14. Philippines: ~117 million​

  15. DR Congo: ~113 million​

 
Lakini Russia ni miongoni mwa Nchi zenye wanawake wengi kuliko wanaume na ipo hapo juu ikiwa nchi ya 9 kwa idadi ya watu wengi
Wewe umeangilia Russia peke yake? Vipi china , india, indonesia? n.k lakini pia Russia wanawake ni wengi kwa sababu ya higher mortality rate ya wanaume kwenye umri mdogo lakiji ukihesabu chini ya miaka 29 utakuta wanaume niwengi kuliko wanawake Russia , nahisi vita navyo vinachangia
 
Back
Top