Raven
New member
Metadata ni nini?
Metadata ni zile information kuhusu data.
Data - images, video, document, audio n.k
Metadata za data zinaweza kuwa
Siku, saa, ukubwa wa file, jina, aina ya file, location n.k
Ili kuona metadata inabidi uende sehemu ya file properties au file details.
Kwa sababu za kiusalama ukipost picha kwenye mitandao ya kijamii kama WhatsApp baadhi ya metadata za files kama picha huwa zinapunguzwa kwa kufuta, hivyo unaweza kuta idadi ndogo ya metadata tofauti na idadi mwanzo.
Hivyo kwenye mambo ya OSINT metadata husaidia kupata taarifa ambazo zinaweza kusaidis kwenye upelelezi.
Pia kuna metadata za post za mitandao ya kijamii kama vile tagged people, tagged location, date and time posted, likes, comments n.k
Angalia picha hapo chini kuona mifano ya file Metadata na Post metadata.
File Metadata
Post Metadata